Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM

Mmoja kati ya kundi kubwa la ng’ombe akishushwa baada ya kuwasili katika eneo la kuchinja mapema leo tayari kwa kuchinjwa. Waislamu dunian...


Mmoja kati ya kundi kubwa la ng’ombe akishushwa baada ya kuwasili katika eneo la kuchinja mapema leo tayari kwa kuchinjwa. Waislamu duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Idi ambayo husherehekewa kwa kutoa sadaka ya kuchinja. Ngombe takriban 600 wanatarajiwa kuchinjwa katika kipindi cha siku nne.

Kundi la ng’ombe wakiwa wamelazwa chini tayari kwa kuchinjwa katika sikukuu ya Idi inayosherehekewa duniani kote na waumini wa dini ya Kiislamu, siku hii ni siku maalumu ya kuchinja na kutoa sadaka. Ng’ombe zaidi ya 600 watachinjwa mpaka kufikia kilele cha maadhimisho ya sikukuu hiyo. Tukio la kuchinja limefanyika jijini Dar es Salaam katika shule ya Feza Boys iliyoko Kunduchi.Tukio la kuchinja likiambatana na dua linaendelea

Waandaaji wa nyama iliyochinjwa katika siku ya kuchinja ambayo ni sikukuu ya Idi ambayo pia huambatana na hija. Waislamu duniani kote leo wanasherehekea Sikukuu ya Idi.
 


Wasimamizi wa kugawa nyama iliyojinjwa kama sadaka leo katika kituo cha shule ya Feza Boys iliyoko Kunduchi, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Tukio hilo hufanyika kila mwaka katika kuadhimisha sikukuu ya Idi. Ng’ombe hukusanywa kutoka kwa wafugaji mbalimbali nchini kwaajili ya kukamilisha tukio la kuchinja ili kutoa sadaka.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM
NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM
https://2.bp.blogspot.com/-h6Y9FCyvJwk/Wal2ImfY4KI/AAAAAAAAQgc/7ur0MfBxe40MxroM8jDYR9S-97XgWBWLACEwYBhgL/s640/_MG_4671AnashushwaWEB.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-h6Y9FCyvJwk/Wal2ImfY4KI/AAAAAAAAQgc/7ur0MfBxe40MxroM8jDYR9S-97XgWBWLACEwYBhgL/s72-c/_MG_4671AnashushwaWEB.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/09/ngombe-600-wachinjwa-katika-sherehe-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/09/ngombe-600-wachinjwa-katika-sherehe-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago