Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa afungua mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma Ikulu, jijini Dsm

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Wakuu wa Mashirik...


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam mapema jana. Mkutano huo uliandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Hazina.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza katika mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma ambao ulikuwa na lengo ya kujadili nafasi za Mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa II wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja akitoa ukaribisho kwa Watendaji Wakuu na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma kwa niaba ya waandaji wa mkutano huo uliofanikiwa kuleta pamoja wakuu wa mashirika zaidi ya 70 nchini.


  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (aliyeketi katikati), Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (wapili kutoka kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja (wapili kushoto), Kaimu Msajili wa Hazina Bw. Mihalale Mwakibinga (kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Maduka Kessy (kulia) katika picha ya pamoja na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika ya Umma.

   Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (aliyeketi katikati), Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (wapili kutoka kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Profesa Joseph Semboja (wapili kushoto), Kaimu Msajili wa Hazina Bw. Mihalale Mwakibinga (kushoto) na Naibu Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Maduka Kessy (kulia) katika picha ya pamoja na Wakurugenzi Watendaji wa Mashirika ya Umma.

Sehemu ya Wenyeviti na Wakurugenzi Watendaji wa Mashirika ya Umma wakifuatilia mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Tume ya Mipango na kufanyika Ikulu, Dar es Salaam mapema Jana

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa afungua mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma Ikulu, jijini Dsm
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa afungua mkutano wa Wakuu wa Mashirika ya Umma Ikulu, jijini Dsm
https://2.bp.blogspot.com/-aGWypbLeIXo/WLW-EZjKsAI/AAAAAAAAdZE/IF8wav-98IQw6shwARgh0WbsyRVqThR_QCLcB/s640/1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-aGWypbLeIXo/WLW-EZjKsAI/AAAAAAAAdZE/IF8wav-98IQw6shwARgh0WbsyRVqThR_QCLcB/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/03/waziri-mkuu-mhe-kassim-majaliwa-afungua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/03/waziri-mkuu-mhe-kassim-majaliwa-afungua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago