Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZAZI WATAKIWA KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

 Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo kutoka katika Kata...

 Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo kutoka katika Kata mbalimbali za wilaya ya Ilala, alipokutana nao katika kikao maalum cha kujitambulisha kwao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala. Kulia ni Katibu wa Jumuia hiyo wilaya ya Ilala, Lugano Mwafongo. Akizungumza kwenye kikao hicho, pamoja na mambo mbalimbali Mkandawile ameitaka Jumuia ya Wazazi katika mkoa wake na maeneo mengine nchini, kuunga mkono hatua ya serikali kuingia katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya.
Mkandawile amesema, Kama sehemu ya Wanana CCM, Jumuia hiyo haiba budi kuunga mkono mabambano hayo kwa kuwa Serikali inatekeleza ilani ya CCM, ibaraya 118 hadi 119.
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akiwasili ukumbini. Kushoto ni Katibu wa Jumuia hiyo wilaya ya Ilala, Lugano Mwafongo na kulia ni Katibu wa Jimbo la Ilala Christopher Lugemalila.
 Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe wakishangilia jambo ukumbini
Katibu wa CCM Jimbo la Ilala, Said Dogo akitoa maneno ya utangulizi kabla ya kikao kuanza. Kulia ni Mkandawile na Lugano Mwafongo
Wajumbe ukumbini wakifuatilia mazungumzo katika kikao hicho
Mjumbe akiwa kwenye kikao hicho cha Jumuia ya Wazazi huku akiendelea na malezi ya mwanae ukumbini
Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Ilala Christopher Lugemalila akizungumza wakati wa kikao hicho
Katibu wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Ilala, akizungumza wakati wa kikao hicho
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo kutoka katika Kata mbalimbali za wilaya ya Ilala, alipokutana nao katika kikao maalum cha kujitambulisha kwao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala.
Wajumbe wakimsikiliza Mkandawile
Wajumbe wakimsikiliza Mkandawile wakati akizungumza na watendaji na viongozi wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala. Picha zote na Bashir Nkoromo --

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZAZI WATAKIWA KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
WAZAZI WATAKIWA KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
https://3.bp.blogspot.com/-aS9KYXOzkFg/WLWR94lKRbI/AAAAAAABaZg/IqpjYdgvYv4YHluv3ZDgxIoB3UoV6thkACLcB/s640/BN647753.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-aS9KYXOzkFg/WLWR94lKRbI/AAAAAAABaZg/IqpjYdgvYv4YHluv3ZDgxIoB3UoV6thkACLcB/s72-c/BN647753.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/03/wazazi-watakiwa-kuunga-mkono-mapambano.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/03/wazazi-watakiwa-kuunga-mkono-mapambano.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago