Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WATUHUMIWA 17 WA DAWA ZA KULEVYA WAKAMATWA SHINYANGA...MAJINA MENGINE ZAIDI YA 20 YAPO KWA DC SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Alhamis Februari 9,2017 kuhu...Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Alhamis Februari 9,2017 kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa wa dawa za kulevya katika wilaya ya Shinyanga-Picha na Kadama  Malunde-Malunde1 blog
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akielezea jinsi wananchi wa wilaya hiyo waliamua kuchukua hatua ya kupeleka majina ya watumiaji na wauzaji wa dawa za kulevya wilayani humo
Mkuu wa polisi wilaya ya Shinyanga Dotto Mdoe akielezea kuhusu kikosi kasi walichounda kufuatilia majina ya watu wanaotajwa kuhusika na dawa za kulevya wilayani humo
---
Vita dhidi ya dawa za kulevya imetua mkoani Shinyanga ambapo jumla ya watu 17 wanaotuhumiwa kuwa ni watumiaji wa dawa hizo ikiwemo unga na mirungi wanashikiliwa na jeshi la polisi wilaya ya Shinyanga. 

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro,ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya hiyo amesema mbali na watu 17 kushikiliwa na polisi pia ofisi yake imepokea majina zaidi ya 20 ya watu wanaodaiwa kujihusisha na dawa za kulevya. 

“Mheshimiwa rais ametangaza kuwa hii ni vita ya nchi nzima,baada ya wananchi kusikia vita ya dawa za kulevya ikiendelea mkoani Dar es salaam,wametuletea majina zaidi ya 20 ya watu wanaojihusisha na dawa za kulevya,wanasema wanaunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali kupiga vita dawa hizi”,amesema Matiro. 

“Wananchi wenyewe kwa moyo mweupe kabisa ndiyo wametuletea majina ya watu wanaotumia na kuuza dawa za kulevya ikiwemo unga na mirungi,kamati ya ulinzi na usalama tumeunda kikosi kazi cha kushughulikia majina yanayoletwa ili kubaini kama ni kweli wanajihusisha na dawa za kulevya”,alisema Matiro. 

Ametumia fursa hiyo kulipongeza jeshi la polisi kwa jitihada zake dhidi ya dawa za kulevya na kufanikisha kukamata watuhumiwa 17 huku akikisisitiza kuwa vita hiyo siyo ya Dar es salaam pekee bali inatakiwa kufanyika nchi nzima kwani watumiaji na wauzaji wa dawa hizo wapo kila mahali nchini. 

Msikilize hapa Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akizungumzia watuhumiwa wa dawa za kulevya wilayani Shinyanga.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WATUHUMIWA 17 WA DAWA ZA KULEVYA WAKAMATWA SHINYANGA...MAJINA MENGINE ZAIDI YA 20 YAPO KWA DC SHINYANGA
WATUHUMIWA 17 WA DAWA ZA KULEVYA WAKAMATWA SHINYANGA...MAJINA MENGINE ZAIDI YA 20 YAPO KWA DC SHINYANGA
https://1.bp.blogspot.com/-6TGqhsEWYcs/WJxCO25Ez_I/AAAAAAAAMgo/a58RYVC1E1Y9T9UQnu9BL3r3pxOf7o8ggCLcB/s640/1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-6TGqhsEWYcs/WJxCO25Ez_I/AAAAAAAAMgo/a58RYVC1E1Y9T9UQnu9BL3r3pxOf7o8ggCLcB/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/02/watuhumiwa-17-wa-dawa-za-kulevya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/02/watuhumiwa-17-wa-dawa-za-kulevya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago