Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA YA MSIBA WA INNOCENT WAPALILA

Familia ya Mzee Meinuf Wapalila na Victoria Bernard Ngowi wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Innocent Wapalila kilichotokea Le...Familia ya Mzee Meinuf Wapalila na Victoria Bernard Ngowi wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Innocent Wapalila kilichotokea Leeds, Uingereza tarehe 17/02/2017.

Msiba na utaratibu wa kusafirisha mwili na mazishi unafanyika Mbezi Beach jijini Dar es salaam mtaa wa Almasi nyumba namba 7.

Kwa uingereza, msiba upo nyumbani kwa marehemu Innocent, 18 Bayswater Mount, LS8 5LP, Leeds.

Gharama za kusafirisha mwili wa mpendwa wetu ni kubwa, ukiwa kama ndugu na rafiki, tunaomba mchango wako wa hali na mali utumwe kwa dada wa marehemu Bi Mariaconsolata Wapalila kwa namba ya M-Pesa 0754 270 433 au Airtel Money 0787 376 278 au akaunti ya benki namba 10300101003 (BANK OF AFRICA).

Asante sana na mungu awabariki,
‘Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe’

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA YA MSIBA WA INNOCENT WAPALILA
TAARIFA YA MSIBA WA INNOCENT WAPALILA
https://2.bp.blogspot.com/--vOd2KMyLvA/WKmZfGtyJHI/AAAAAAAAFdc/Yw3Tkrka-MEXuT8C6jAMe8YPp4IH9-EZACLcB/s640/iw.jpg
https://2.bp.blogspot.com/--vOd2KMyLvA/WKmZfGtyJHI/AAAAAAAAFdc/Yw3Tkrka-MEXuT8C6jAMe8YPp4IH9-EZACLcB/s72-c/iw.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/02/taarifa-ya-msiba-wa-innocent-wapalila.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/02/taarifa-ya-msiba-wa-innocent-wapalila.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago