Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AONGOZA MAZOEZI KUITIKIA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Mecki Sadiki akiwa na viongozi wengine wa kiserikali wakiowaongoza watumishi wa kada mbalimbali ,watu...


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Mecki Sadiki akiwa na viongozi wengine wa kiserikali wakiowaongoza watumishi wa kada mbalimbali ,watumishi wa umma,wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika uzinduzi wa kampeni ya kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza kwa njia ya mazoezi kimkoa.
Washiriki wa zoezi hilo wakipita maeneo mbalimbali ya mji  Moshi kwa kutembea na kukimbia kidogo kidogo.
Mazoezi ya awali ya kukimbia na kutembea yaliyoanzia ofsi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,yalihitimishwa kwa mazoezi ya viungo katika uwanja wa Chuo Kikuu  chuo kikuu cha Ushirika mjini Moshi.
Askari kutoka vikosi mbalimbali vya Jeshi la Polisi pia walishiriki vyema mazoezi hayo.
Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro,Mhandisi Aisha Amour alikuwa ni miongoni mwa washiriki katika mazoezi hayo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru pia alishiriki katika mazoezi hayo.
Wanafunzi kutoka shue mbalimbali za sekondari na msingi pia walikuwepo.
Jeshi la Magereza pia liliwakilishwa vyema na baadhi ya askari wake.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AONGOZA MAZOEZI KUITIKIA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS.
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AONGOZA MAZOEZI KUITIKIA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS.
https://3.bp.blogspot.com/-j9-eyLOLGgo/WKA-qvf7cBI/AAAAAAAAjEc/2OP-xLJqtAYKU-83oufJOC1DPFh8hqz_ACLcB/s640/_MG_0005%2B%25281024x683%2529.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-j9-eyLOLGgo/WKA-qvf7cBI/AAAAAAAAjEc/2OP-xLJqtAYKU-83oufJOC1DPFh8hqz_ACLcB/s72-c/_MG_0005%2B%25281024x683%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/02/mkuu-wa-mkoa-wa-kilimanjaro-aongoza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/02/mkuu-wa-mkoa-wa-kilimanjaro-aongoza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago