Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAKAZI WA MIJINI WAHIMIZWA KUJIKTA KWENYE BUSTANI ZA MAKOPO NA MIFUKO.

#LakeFm Habari Wakazi wanaoishi maeneo ya mijini nchini wamehimizwa kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga kwa kutumia masalia ya makopo...


#LakeFm Habari
Wakazi wanaoishi maeneo ya mijini nchini wamehimizwa kujikita kwenye kilimo cha mbogamboga kwa kutumia masalia ya makopo na mifuko ya aina mbalimbali ili kuondokana na uchafunzi wa mazingira.

Mwanamama Victoria Buzare ambaye ni mjasiriamali kutoka Kata ya Buhongwa Jijini Mwanza, ameyasema hayo wakati akizungumza na Lake Fm huku akiongeza kwamba kilimo hicho pia kinawaepusha wanajamii na athari za kutumia mbogamboga zenye kemikali.

Amesema kilimo hicho kinagharimu mtaji kidogo hadi shilingi 5,000 ambazo mkulima anaweza kulima aina tatu za mbogamboga ikiwemo sukumawiki, nyanya chungu, biringanya na nyinginezo.

Buzare amewashauri wanafamilia wote wanaoishi mijini kuhakikisha wanakuwa na bustani za makopo na mifuko kwani ni salama kwa matumizi ya chakula na pia rahisi kusimamia ikizingatiwa ndoo moja ya maji kwa siku inatosheleza mahitaji yake.
Kwa maoni na ushauri ama swali, wasiliana na Victoria Buzare (pichani) kwa nambari za simu 0754 21 85 55.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAKAZI WA MIJINI WAHIMIZWA KUJIKTA KWENYE BUSTANI ZA MAKOPO NA MIFUKO.
WAKAZI WA MIJINI WAHIMIZWA KUJIKTA KWENYE BUSTANI ZA MAKOPO NA MIFUKO.
https://2.bp.blogspot.com/-W-iIewzPwng/WHYogCNLbJI/AAAAAAAAQeQ/L7ob8bxZf4AyTgP2xTEBtMw_orND1bRWQCLcB/s640/Buzare%2B1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-W-iIewzPwng/WHYogCNLbJI/AAAAAAAAQeQ/L7ob8bxZf4AyTgP2xTEBtMw_orND1bRWQCLcB/s72-c/Buzare%2B1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/01/wakazi-wa-mijini-wahimizwa-kujikta.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/01/wakazi-wa-mijini-wahimizwa-kujikta.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago