Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGAZO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

   Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha  Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jam...


 
 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha  Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi.
 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akiongoza kikao cha  Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi, kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na kulia ni Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
iWaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akielezea masuala mbali mbali ambayo yamejadiliwa na Mawaziri wa Tanzania Bara pamoja Visiwani
 Baadhi wa Mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia kwa makini kikao hicho ambacho changamoto mabli mbali zinazohusu Muungano.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGAZO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGAZO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
https://4.bp.blogspot.com/-OsUpWw7vjVo/WHk4fP66gZI/AAAAAAAA0Mo/t71GMVNQX0YcJQnoDBxDkp_5svzBarjOQCLcB/s640/24.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-OsUpWw7vjVo/WHk4fP66gZI/AAAAAAAA0Mo/t71GMVNQX0YcJQnoDBxDkp_5svzBarjOQCLcB/s72-c/24.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/01/makamu-wa-rais-mhe-samia-aongoza-kikao.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/01/makamu-wa-rais-mhe-samia-aongoza-kikao.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago