Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

JUMUIA YA WAZAZI KINONDONI YAADHIMISHA MIAKA 40 YA CCM KWA USAFI NA KUTOA VIFAA ZAHANATI YA KIBAMBA

 Juuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni, jana, Januari 28, 2017, imeadhimisha miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM, kwa kufanya usafi na kutoa vif...


 Juuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni, jana, Januari 28, 2017, imeadhimisha miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM, kwa kufanya usafi na kutoa vifaa mbalimbali kweye zahanati ya Kibamba, Ubugo jijini Dar es Saaam. Pichani, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, wilaya hiyo, Lucas Mgonja (wapili kulia), akikabidhi ufagio kwa Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo, Mwahawa Kiroboto. Kushoto ni Muuguzi Mfawishi wa Zahanati hiyo, Jesca Mpolanigwa.
 Lucas Mgonja akikabidhi sabuni
 Lucas Mgonja akikabidhi kifaa cha kupima homa 
 Lucas akikabidhi ndoo
 Mgonja akikabidhi sabuni ya kufanyia usafi
 Mganga Mfawidhi akitoa neno la shukurani baada ya kukabidhiwa vifaa na Mgonja
 Mgonja akizungumza na Mwandishi wa habari wa Clouds Tv, Salum Mwinyimkuu, baada ya kukabidhi vifaa
 Mgonja (Wapili kushoto) akiongoza badhi ya viongozi wa Jumuia ya wazazi wilaya ya Kinondoni kukata miti na kufyeka nyasi kwenye Zahanati hiyo
 Badhi ya viongozi wa Jumuia ya wazazi wilaya ya Kinondoni wakishiriki kufanya usafi kwenye Zahanati hiyo
 Mwanahawa na Mpolanigwa wakifanya usafi kwenye Zahanati hiyo
 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya wazazi Kinondoni wakifanya usafi kwenye Zahanati hiyo
 Mgonja akizungumza kabla ya yeye na ujumbe wake kuondoka kwenye Zahanati hiyo
 Baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kutoka Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinodoni wakimsikiliza Mgonja kwenye Zahanati hiyo kabla ya kuondoka
 Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akimpongeza Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi Jimbo la Ubungo, Justine Sangu, baada ya kufanya usafi na kutoa vifaa kwenye zahanati hiyo
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akimpongeza Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi Wilaya ya Kinondoni, Lucas Mgonja, baada ya kufanya usafi na kutoa vifaa kwenye zahanati hiyo. Picha zote na Bashir Nkoromo). --

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: JUMUIA YA WAZAZI KINONDONI YAADHIMISHA MIAKA 40 YA CCM KWA USAFI NA KUTOA VIFAA ZAHANATI YA KIBAMBA
JUMUIA YA WAZAZI KINONDONI YAADHIMISHA MIAKA 40 YA CCM KWA USAFI NA KUTOA VIFAA ZAHANATI YA KIBAMBA
https://3.bp.blogspot.com/-q_gaL5ySPt8/WI2oLMBJhHI/AAAAAAABYmM/16PkJ8GiFtkkN-TI72Z0yFF3gVmqD1qzwCLcB/s640/1.%2BBN646681.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-q_gaL5ySPt8/WI2oLMBJhHI/AAAAAAABYmM/16PkJ8GiFtkkN-TI72Z0yFF3gVmqD1qzwCLcB/s72-c/1.%2BBN646681.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2017/01/jumuia-ya-wazazi-kinondoni-yaadhimisha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2017/01/jumuia-ya-wazazi-kinondoni-yaadhimisha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago