Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Naibu Waziri Ofisi ya Makumu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina Atembelea Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara Kwa Vijana Zanzibar Chuo cha Karume Mbweni.

  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimksikiliza Mkurungenzi wa Kituo cha Ujasiriamali Kut...


 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimksikiliza Mkurungenzi wa Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Zanzibar Ndg, Ameir Sheha akitowa maelezo kwa Naibu Waziri alipowasili katika viwanja vya Kituo hicho huko Mbweni Zanzibar wakati wa ziara yake Zanzibar. 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimsikiliza Mtaalamu Ufundi wa Kituo hicho Dr. Rajeev Aggrwal akitowa maelezo ya mafunzo kwa Vijana wanaojiunga na Kituo hicho kupata Elimu ya Ujasiriamali na baadae kujiajiri mwenyewe baada ya kupata ujenzi kupitia kituo hicho, kilioko katika majengo ya Chuo cha Karume Mbweni Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi wa Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akipitia ripoti ya Kituo hicho baada ya kupata maelezo kutoka kwa Wataalamu wa Kituo hicho wakati wa ziara yake Zanzibar kutembelea Taasisi mbalimbali.     
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mpina akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kukuza Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Ndg. Ameir Sheha, akimtembeza katika Kituo hicho kujionea shughuli zinazofanywa kutowa mafunzo kwa Vijana wanaojiunga kupata mafunzo ya ujasiriamali. 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akimsikiliza mwanafunzi wa Kituo hicho Maryam Omar akitowa maelezo ya utengenezaji wa sabuni na mafuta mafunzo wanayoyapata kupitia Kituo hicho kwa sasa kina Vijana 700 wanapata mafunzo ya Ujasiriamali Zanzibar.
Mwanafunzi wa Kituo cha Ujasiriamali Mbweni Maryam Omar akitowa maelezo ya jinsi ya utengenezaji wa bidhaa zitokanazo na maziwa, Samli. Siagi na Chizi ni moja ya mafunzo yanayotolea Kituoni Hapo. 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na Vijana katika Kituo hicho.
W


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akitembelea Kituo cha Ujasiriamali Mbweni Zanzibar akiwa na Mkurugenzi wa Kituo hicho Ndg Ameir Sheha.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akipata maelezo kutoka kwa Kijana anayepata mafunzo kituo hicho jinsi ya kutengeneza mishumaa 
Baadhi ya Bidhaa zainazozalishwa katika Kituo hicho cha Kukuza Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Mbweni Zanzibar, hizo bidha za mishumaa.

Imetayarishwa na OthmanMapara.Blog.
 Zanzinews.com 
othmanmaulid@gmail.com
 0777424152 or 0715424152. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Naibu Waziri Ofisi ya Makumu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina Atembelea Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara Kwa Vijana Zanzibar Chuo cha Karume Mbweni.
Naibu Waziri Ofisi ya Makumu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina Atembelea Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara Kwa Vijana Zanzibar Chuo cha Karume Mbweni.
https://4.bp.blogspot.com/-0COJpCvSP74/WE1JkYLSIbI/AAAAAAACo2c/jT2KWow_1pMrIIxFaLnSTsH5QrQD-D9ZACLcB/s640/DSC_0568.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-0COJpCvSP74/WE1JkYLSIbI/AAAAAAACo2c/jT2KWow_1pMrIIxFaLnSTsH5QrQD-D9ZACLcB/s72-c/DSC_0568.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/12/naibu-waziri-ofisi-ya-makumu-wa-rais.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/12/naibu-waziri-ofisi-ya-makumu-wa-rais.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago