Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUU WA WILAYA YA ROMBO,AGNES HOKORORO AKAMATA NA KUTEKETEZA LITA 4000 YA POMBE CHAFU.

Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akiangalia namna pombe ya kienyeji inavyoandaliwa baada ya kukamata kiwanda bubu cha kutengeneze...


Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akiangalia namna pombe ya kienyeji inavyoandaliwa baada ya kukamata kiwanda bubu cha kutengenezea pombe bila ya kufuata taratibu.
Mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza pombe ya kienyeji  aliyefahamik kwa jina moja la Carlos akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo namna wanavyoandaa pombe hiyo.
Carlos akifungua madumu makubwa yaliyohifadhi Pombe ya Kienyeji wakati wa utengenezaji wake katika kijiji cha Useri wilayani Rombo.
Sehemu ya Pombe ikiwa katika Mapipa baada ya kuvundikwa.
Kreti za Chupa za Banana ambazo zimekuwa zikitumika pia katika kuwekea pombe hiyo mara baada ya kutengenezwa.
Askari Mgambo akiweka ndizi zilizovundikwa katika ndoo ambazo pia hutumika katika utengenezaji wa pombe hiyo ya kienyeji.
Mkuu wa wilaya ya Rombo,Agnes Hokororo akimwaga pombe hiyo iliyokuwa katika Chupa.
Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akitizama daftari la mauzo lililokutwa katika kiwanda hicho.
Nyumba ambayo imekuwa iktumika kutengenezea Pombeza kienyeji kulipokutwa mitambo wa kutegeneza pamoja na pombe iliyokuwa katika maandalizi.
Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akimwaga pombe ya kienyeji iliyokuwa ikiandaliwa katika moja ya kiwanda bubu kilichokutwa katika kijiji cha Useri wilayani humo.
Katibu tawala wa wilaya ya Rombo ,Abubakar Asenga akimwaga pombe hiyo mara baada ya kufanya operesheni ya kushtukiza katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Rombo.
Pombe iliyokuwa katika maandalizi ikimwagwa katika kiwanda hicho.
Vizibo ambavyo vimekuwa vikitumika katika kufunika pombe hiyo mara baada ya kujazwa katika chupa.
Katibu tawala wa wilaya ya Rombo,Abubakar Asenga akipakia madumu makubwa yaliyokutwa yakitumika katika utengenezaji wa Pombe katika kijiji cha Useri wilaya Rombo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
KAWAIDA. Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akiangalia namna pombe ya kienyeji inavyoandaliwa baada ya kukamata kiwanda bubu cha kutengenezea pombe bila ya kufuata taratibu. Mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza pombe ya kienyeji aliyefahamik kwa jina moja la Carlos akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo namna wanavyoandaa pombe hiyo. Carlos akifungua madumu makubwa yaliyohifadhi Pombe ya Kienyeji wakati wa utengenezaji wake katika kijiji cha Useri wilayani Rombo. Sehemu ya Pombe ikiwa katika Mapipa baada ya kuvundikwa. Kreti za Chupa za Banana ambazo zimekuwa zikitumika pia katika kuwekea pombe hiyo mara baada ya kutengenezwa. Askari Mgambo akiweka ndizi zilizovundikwa katika ndoo ambazo pia hutumika katika utengenezaji wa pombe hiyo ya kienyeji. Mkuu wa wilaya ya Rombo,Agnes Hokororo akimwaga pombe hiyo iliyokuwa katika Chupa. Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akitizama daftari la mauzo lililokutwa katika kiwanda hicho. Nyumba ambayo imekuwa iktumika kutengenezea Pombeza kienyeji kulipokutwa mitambo wa kutegeneza pamoja na pombe iliyokuwa katika maandalizi. Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akimwaga pombe ya kienyeji iliyokuwa ikiandaliwa katika moja ya kiwanda bubu kilichokutwa katika kijiji cha Useri wilayani humo. Katibu tawala wa wilaya ya Rombo ,Abubakar Asenga akimwaga pombe hiyo mara baada ya kufanya operesheni ya kushtukiza katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Rombo. Pombe iliyokuwa katika maandalizi ikimwagwa katika kiwanda hicho. Vizibo ambavyo vimekuwa vikitumika katika kufunika pombe hiyo mara baada ya kujazwa katika chupa. Katibu tawala wa wilaya ya Rombo,Abubakar Asenga akipakia madumu makubwa yaliyokutwa yakitumika katika utengenezaji wa Pombe katika kijiji cha Useri wilaya Rombo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUU WA WILAYA YA ROMBO,AGNES HOKORORO AKAMATA NA KUTEKETEZA LITA 4000 YA POMBE CHAFU.
MKUU WA WILAYA YA ROMBO,AGNES HOKORORO AKAMATA NA KUTEKETEZA LITA 4000 YA POMBE CHAFU.
https://2.bp.blogspot.com/-Nz3-ZhIU9YA/WGdOKv-vnzI/AAAAAAAAicU/yymcd-_OBIkPjgt8ODZUJCbP0N_g6JC9ACLcB/s640/_MG_0092%2B%25281024x683%2529.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-Nz3-ZhIU9YA/WGdOKv-vnzI/AAAAAAAAicU/yymcd-_OBIkPjgt8ODZUJCbP0N_g6JC9ACLcB/s72-c/_MG_0092%2B%25281024x683%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/12/mkuu-wa-wilaya-ya-romboagnes-hokororo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/12/mkuu-wa-wilaya-ya-romboagnes-hokororo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago