Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KONGAMANO LA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA UN LAFANA TANGA

  Tanga , WANAFUNZI wa Vilabu vya Umoja wa Mataifa kutoka   vyuo Vikuu na Shule za Sekondari na Msingi kutoka Mikoa mbalimbali nchini wa...

 Tanga, WANAFUNZI wa Vilabu vya Umoja wa Mataifa kutoka  vyuo Vikuu na Shule za Sekondari na Msingi kutoka Mikoa mbalimbali nchini wamekutana Tanga kujadili mambo mbali mbali yahusuyo shughuli za Umoja wa Mataifa.
 
Wanafunzi hao walijadili mambo hayo yakiwemo  Demokrasia na Utawala bora Barani Afrika pamoja na changamoto za Raia katika nchi zenye machafuko.
 
Pia walijadili uchafuzi wa mazingira kwa nchi zenye viwanda na uharibifu wa mazingira ya bahari kwa baadhi ya viwanda kumwaga sumu baharini.
Akizungumza katika kongamano hilo, Mlezi wa (YUNA) Mkoa wa Kilimanjaro, Fransiss Shelutete, amezitaka Serikali nchi za Afrika kuwachukulia hatua kali  uchafuzi wa mazingira .
  Mratibu wa klabu ya Umoja wa Mataifa (YUNA) Mkoa wa Kilimanjaro, Fransisis Shelutete, akizungumza kwenye kongamano la Vilabu vya Umoja wa Mataifa kutoka Mikoa mbalimbali nchini na kufanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Tanga
  Mwenyekiti wa Vilabu vya Umoja wa Mataifa (YUNA) nchini Rahim Nassir, akizungumza kwenye kongamano la vilabu vya umoja wa Mataifa lililowashirikisha wanafunzi vyuo vikuu na kufanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga
  Wanachama wa vilabu vya Umoja wa Mataifa (YUNA) kutoka Mikoa mbalimbali nchini wakifuatilia kongamano lililohusisha wanafunzi wa vyuoni na Shule za Sekondari na Msingi na kufanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa  Tanga
  Viongozi wa Vilabu  vya Umoja wa Mataifa UN kutoka Mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama kutoka maeneo mbalimbali nchini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KONGAMANO LA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA UN LAFANA TANGA
KONGAMANO LA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA UN LAFANA TANGA
https://3.bp.blogspot.com/-A0M5uPChZks/WFffcBAmI_I/AAAAAAADkM8/_5ynS6AgTFkxYDtLA77SogWsLFexQ92ngCLcB/s640/DSCN1437.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-A0M5uPChZks/WFffcBAmI_I/AAAAAAADkM8/_5ynS6AgTFkxYDtLA77SogWsLFexQ92ngCLcB/s72-c/DSCN1437.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/12/kongamano-la-vilabu-vya-umoja-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/12/kongamano-la-vilabu-vya-umoja-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago