Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

DR GEORDAVIE:JIJENGEENI TABIA YA KUSAIDIA YATIMA

  Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea  bajeti mbalimbali  za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutole wa neno la unabii hiii le...


 Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea  bajeti mbalimbali  za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo(picha na woinde Shizza wa libeneke la kaskazini Arusha)

Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiwa anahubiri katika
hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo jijini Arusha hii leo
 Nabii mkuu akiwa anaendelea na huduma  ya sikuu kuu ya kukusanya hii leo


Nabii akiwa anamwaga upako kwa waumi waliouthuria katika siku kuuu hii ya kukusanya hii leo (picha na Woinde Shizza,Arusha )
 Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea  bajeti mbalimbali  za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo 


 Habari picha na woinde shizza,Arusha
Watumishi  wa madhehebu mbalimbali hapa nchini wametakiwa kujijengea tabia ya kuwasaidia yatima ili nao waweze kujisikia kama wao ni sehemu ya jamiiHayo yamebainishwa leo na Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie wakati akifanya  dua maalumu ya kupitisha bajeti ya watu walioshiriki katika sikukuu ya kukusanya iliyofanyika katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo jijini Arusha.Alisema kuwa ni wajibu wa kila mtumishi kukusanya  na kutoa kile alichonauwezo nacho ili  kuweza kuwasaidia watoto yatima ,wananchi wasiojiweza  ili kuweza kuwafanya nao wajisikie ni sehemu ya jamiiAlisema kuwa mbali na watoto yatima pia aliwasihi makanisa ambayo yanajiweza kuweza kusaidia yale ambayo ni machanga ili kuweza kuwapa nguvu ya kuweza kuendelea kueneza injili na kumtangaza mungu  kupitia makanisa yao .

  Nabii mkuu Dr Geordavie alisema kuwa  kuwa lengo la sikukuu hii ya kukusanya nikuwasaidia watoto yatima kwa kuwapa chakula kama mchele, sukari pamoja na mafuta yakupikia ili nao wajisikie wanafuraha haswa katika kipindi hichi cha sikukuu.

Alisema kuwa  licha ya misaada hiyo kwenda kwa watoto yatima, pia atatoa fedha kwa watumishi wa mungu wenye makanisa madogo hapa nchini lengo likiwa ni kuinua huduma zao na kuwasaidia katika kuendeleza huduma zao ikiwa ni pamoja na ujenzi wa kanisa, ununuzi wa vyombo vya muziki na shughuli nyingine za kanisa.

Sikukuu hii ya kukusanya  huadhimishwa na huduma ya Ngurumo ya Upako Duniani tarehe 26 ya kila mwaka, watu hutoa sadaka ya vitu mbalimbali ikiwemo fedha kwa mujibu wa maelekezo ya Nabii Mkuu na kisha hugawanywa kwa vituo vya watoto yatima  huku  fedha zikigawanywa kwa watumishi waliotuma maombi ya kupata msaada   wa kuendeleza huduma zao.

Mwaka jana msaada wa zaidi ya shilingi milioni 15 ulitolewa na waumini wa kanisa la Ngurumo ya upako na kugawanywa katika vituo mbalimbali vya watoto yatima huku fedha zikigawiwa kwa baadhi ya makanisa madogo  kwa ajili ya kuwasaidia mambo mbalimbali .


KAWAIDA Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo(picha na woinde Shizza wa libeneke la kaskazini Arusha) Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiwa anahubiri katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo jijini Arusha hii leo Nabii mkuu akiwa anaendelea na huduma ya sikuu kuu ya kukusanya hii leo Nabii akiwa anamwaga upako kwa waumi waliouthuria katika siku kuuu hii ya kukusanya hii leo (picha na Woinde Shizza,Arusha ) Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo Habari picha na woinde shizza,Arusha Watumishi wa madhehebu mbalimbali hapa nchini wametakiwa kujijengea tabia ya kuwasaidia yatima ili nao waweze kujisikia kama wao ni sehemu ya jamii Hayo yamebainishwa leo na Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie wakati akifanya dua maalumu ya kupitisha bajeti ya watu walioshiriki katika sikukuu ya kukusanya iliyofanyika katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo jijini Arusha. Alisema kuwa ni wajibu wa kila mtumishi kukusanya na kutoa kile alichonauwezo nacho ili kuweza kuwasaidia watoto yatima ,wananchi wasiojiweza ili kuweza kuwafanya nao wajisikie ni sehemu ya jamii Alisema kuwa mbali na watoto yatima pia aliwasihi makanisa ambayo yanajiweza kuweza kusaidia yale ambayo ni machanga ili kuweza kuwapa nguvu ya kuweza kuendelea kueneza injili na kumtangaza mungu kupitia makanisa yao . Nabii mkuu Dr Geordavie alisema kuwa kuwa lengo la sikukuu hii ya kukusanya nikuwasaidia watoto yatima kwa kuwapa chakula kama mchele, sukari pamoja na mafuta yakupikia ili nao wajisikie wanafuraha haswa katika kipindi hichi cha sikukuu. Alisema kuwa licha ya misaada hiyo kwenda kwa watoto yatima, pia atatoa fedha kwa watumishi wa mungu wenye makanisa madogo hapa nchini lengo likiwa ni kuinua huduma zao na kuwasaidia katika kuendeleza huduma zao ikiwa ni pamoja na ujenzi wa kanisa, ununuzi wa vyombo vya muziki na shughuli nyingine za kanisa. Sikukuu hii ya kukusanya huadhimishwa na huduma ya Ngurumo ya Upako Duniani tarehe 26 ya kila mwaka, watu hutoa sadaka ya vitu mbalimbali ikiwemo fedha kwa mujibu wa maelekezo ya Nabii Mkuu na kisha hugawanywa kwa vituo vya watoto yatima huku fedha zikigawanywa kwa watumishi waliotuma maombi ya kupata msaada wa kuendeleza huduma zao. Mwaka jana msaada wa zaidi ya shilingi milioni 15 ulitolewa na waumini wa kanisa la Ngurumo ya upako na kugawanywa katika vituo mbalimbali vya watoto yatima huku fedha zikigawiwa kwa baadhi ya makanisa madogo kwa ajili ya kuwasaidia mambo mbalimbali .

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: DR GEORDAVIE:JIJENGEENI TABIA YA KUSAIDIA YATIMA
DR GEORDAVIE:JIJENGEENI TABIA YA KUSAIDIA YATIMA
https://2.bp.blogspot.com/-1Kzlzs_ZN_E/WGE1J39q0lI/AAAAAAAARZY/OpCGzXJoT7Ic4yaB3ppLFA6lyml1FFtrwCLcB/s640/IMG_2849.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-1Kzlzs_ZN_E/WGE1J39q0lI/AAAAAAAARZY/OpCGzXJoT7Ic4yaB3ppLFA6lyml1FFtrwCLcB/s72-c/IMG_2849.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/12/dr-geordaviejijengeeni-tabia-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/12/dr-geordaviejijengeeni-tabia-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago