Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...


Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, ambapo aliwaasa wananchi kuchukua uamuzi wa  kupima afya zao na kupatiwa matibatu. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Dk. Hedwiga Swai. 

Na Dotto Mwaibale

WANANCHI wametakiwa kupima kila wakati na kuendelea kutumia kinga ili kujiepusha na maambuki mapya ya VVU.

Mwito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko katika kikao cha makamishina wapya wa tume hiyo kilichoketi jijini Dar es Salaam juzi. 

"Tunapaswa kuwa ni mikakati endelevu ya kupambana na ugonjwa wa ukimwi kwani bado kunachangamoto kubwa" alisema Maboko.

Maboko alisema watanzania wasidanganyike kuwa ukimwi umekwisha ugonjwa huo bado upo na ni changamoto kubwa.

Alisema changamoto kubwa ya ugonjwa huo bado ipo katika baadhi ya mikoa hasa ile ya nyanda za juu kama Iringa na Njombe hivyo wananchi wasibweteke kuwa ugonjwa huo umekwisha.

Alisema kwa Tanzania Bara kunamaambukizi ya asilimia 5.3 sawa na watu milioni mbili waliopata maambukizi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO
WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO
https://3.bp.blogspot.com/-ovyu3SpYBYg/WDGpn516AhI/AAAAAAAAYqQ/aAU_eZ42cSoAGsP1_xsx1o_D0NGvhyY_QCLcB/s640/IMG_2087.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-ovyu3SpYBYg/WDGpn516AhI/AAAAAAAAYqQ/aAU_eZ42cSoAGsP1_xsx1o_D0NGvhyY_QCLcB/s72-c/IMG_2087.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/11/wananchi-washauriwa-kuendelea-kupima.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/11/wananchi-washauriwa-kuendelea-kupima.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago