Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MGANGA MKUU MKOA WA MWANZA AWATAHADHARISHA WANANCHI JUU YA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA.

Dkt.Leonald Subi Na George Binagi-GB Pazzo Mganga Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonald Subi, amewahimiza wananchi kuwa na desturi ...


Dkt.Leonald Subi

Na George Binagi-GB Pazzo
Mganga Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonald Subi, amewahimiza wananchi kuwa na desturi ya kupima afya zao mara kwa mara hususani kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza ili kuepukana na madhara yake ikiwemo vifo vinavyofikia asilimia 27 nchini.

Dkt Subi aliyasema hao wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi mkoani Mwanza, inayofanyika kwa siku mbili kuanzia jana katika Uwanja wa Furahisha, Vituo vya afya Igoma, Karumbe na Makongoro.

Aidha Dkt.Subi aliwahimiza wanajamii kubadili mfumo wa maisha kwa kuzingatia kanuni za afya ili kuepukana na madhara yatokanayo na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ambayo ni pamona na kansa, presha pamoja na kisukari.

“Magonjwa haya yanatokana na namna ya maisha tunavyoishi ikiwemo kutokufanya mazoezi, ulaji wa chakula usiozingazi kanuni, ulevi, uvutaji wa sigara, kuwa na wapenzi wengi na kutokuzingatia kanuni za afya kwa ujumla”. Alisema Dkt.Subi.

Kampeni ya uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi inaratibiwa na Chama cha Madaktari Wanawake nchini MEWATA katika mikoa ya Mwanza, Iringa na Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupata huduma mapema kwani magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo saratani hutibika ikiwa mgonjwa ataanza matibabu mapema.
Tazama HAPA Picha za Uzinduzi

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MGANGA MKUU MKOA WA MWANZA AWATAHADHARISHA WANANCHI JUU YA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA.
MGANGA MKUU MKOA WA MWANZA AWATAHADHARISHA WANANCHI JUU YA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA.
https://3.bp.blogspot.com/-K6lSdbNhXIY/WCxmiZex1iI/AAAAAAAAPQM/Eut3WYql99shZr6GWjcl4y85Syij79WtQCLcB/s640/5.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-K6lSdbNhXIY/WCxmiZex1iI/AAAAAAAAPQM/Eut3WYql99shZr6GWjcl4y85Syij79WtQCLcB/s72-c/5.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/11/mganga-mkuu-mkoa-wa-mwanza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/11/mganga-mkuu-mkoa-wa-mwanza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago