Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KINANA AKUTANA NA UJUMBEA WA CPC YA CHINA

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na   Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya Mafunzo katika ...


KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na  Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya Mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo (Wakwanza kushoto),  alipokutana naye na kufanya mazungumzo katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam. Bo na ujumbe wake wapo katika ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Mapinduzi. Wapili ni Kaimu Balozi wa China hapa Nchini, Gou hao Domg. Na walioketi kulia, ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida na Katibu wa NEC, Sisa na Ushorikiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chama.

 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman akimsalimia  Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo kabla ya kuanza mazungumzo katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam. Bo na ujumbe wake wapo katika ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Mapinduzi.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Kaimu Nalozi wa China hapa nchini, Gou Hao Dong, alipowasili katika ukumbi wa Sekretarieti kwa ajili ya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo (katikati)
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akijiandaa kukaa tayari kwa mazungumzo na Jia Bo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida alipowasili ukumbini. Madabida ndiye Mwenyeji wa ujumbe huo wa China
 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman akiiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya mafunzo katika Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo katika picha ya pamoja na ujumbe wa CCM na CPC, baada ya mazungumzo katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam. Bo na ujumbe wake wapo katika ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Chama Cha Mapinduzi. 
 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman akiagana na Kaimu Balozi wa China hapa nchini, Gou Hao Dong, baada ya mazungumzo.
Balozi wa China hapa nchini, Gou Ho Dong akiagana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana baada ya mazungumzo hayo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, ramadhani Madabida. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-CCM

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KINANA AKUTANA NA UJUMBEA WA CPC YA CHINA
KINANA AKUTANA NA UJUMBEA WA CPC YA CHINA
https://4.bp.blogspot.com/-E5J8K_iLrxM/WD1FzKcLnMI/AAAAAAABVag/u2dksM4TbLowZitzrZzbh3fon7Ih8OB0gCLcB/s640/BN647251.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-E5J8K_iLrxM/WD1FzKcLnMI/AAAAAAABVag/u2dksM4TbLowZitzrZzbh3fon7Ih8OB0gCLcB/s72-c/BN647251.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/11/kinana-akutana-na-ujumbea-wa-cpc-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/11/kinana-akutana-na-ujumbea-wa-cpc-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago