Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

DTB KUSOMESHA SEKONDARI WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Bi. Sheena Sinare, (katikati) Afisa wa Diamond Trust Bank (DTB), akikabidhi malipo kwa ajili ya ada ya wanafunzi 5 kwa mkurugenzi wa shul...

Bi. Sheena Sinare, (katikati) Afisa wa Diamond Trust Bank (DTB), akikabidhi malipo kwa ajili ya ada ya wanafunzi 5 kwa mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya Sullivan Provost iliyopo Kibaha Mkoa wa Pwani. Bi. Rachel Mwalukasa. Wanafunzi hao kutoka katika Makao ya Watoto yatima Kurasini ni– Fadhili Dotto (14), Bakari Majuto (14) , Justin Msafiri (15), Baltadhar Steward (14) na Omary Ramadan (16). Kushoto ni Bi. Beatrice Mgumiro, Msimamizi wa Makao ya watoto yatima Kurasini na Kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Sullivan Provost, Nd. Alex Nicholaus Sibuti. Wanafunzi hao wanajiunga na shule ya bweni ya Sullivan Provost katika kidato cha kwanza mwakani, na tayari wameanza masomo ya awali (Pre-Form one).(na Mpigapicha Wetu)
ImmaMatukio
Ilikuwa ni Furaha tele wakati Diamond Trust Bank (DTB), walipotoa udhamini wa kuwasomesha watoto 5 kutoka Makao ya Watoto yatima Kurasini. Wanafunzi hawa watakaojiunga na shule ya Sekondari ya Sullivan Provost iliyopo Kibaha Mkoa wa Pwani mwakani, tayari wameanza masomo ya awali (pre form one). Benki ya DTB Tanzania kwa kupitia kitengo cha huduma za kijamii, imegharamia mahitaji mengine yote pamoja na ada ya hawa vijana ili waweze kusoma vizuri. katika mstari wa nyuma ni Fadhili Dotto (14), Bakari Majuto (14) , Justin Msafiri (15), Baltadhar Steward (14) na Omary Ramadan (16). Walioketi mstari wa mbele kushoto ni Bi. Sheena Sinare, Afisa kutoka DTB Tanzania, Bi. Beatrice Mgumiro, Msimamizi wa Makao ya watoto yatima Kurasini, Bi. Rachel Mwalukasa, mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya Sullivan Provost, Nd. Alex Nicholaus Sibuti, Mwalimu Mkuu na Bi. Monica Nangale, Afisa toka benki ya DTB Tanzania.(na Mpigapicha Wetu)
ImmaMatukio
Afisa wa Benki ya Diamond Trust Bank (DTB) , Bi. Sheena Sinare (katikati) , akiwa pamoja na watoto kutoka Makao ya Watoto yatima Kurasini. Kulia ni Bi. Rachel Mwalukasa, Mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya bweni - Sullivan Provost iliyopo Kibaha Mkoa wa Pwani na kushoto ni Bi. Beatrice Mgumiro, Msimamizi wa Makao ya watoto yatima Kurasini. DTB imetoa ada ya mwaka mmoja kwa wanafunzi 5 kutoka katika hicho kituo ambao ni Fadhili Dotto (14), Bakari Majuto (14) , Justin Msafiri (15), Baltadhar Steward (14) na Omary Ramadan (16) ambao wote wapo katika picha. Wanafunzi hao wanajiunga na shule ya bweni ya Sullivan Provost katika kidato cha kwanza mwakani, na tayari wameanza masomo ya awali (Pre-Form one).(na Mpigapicha Wetu)
ImmaMatukio

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: DTB KUSOMESHA SEKONDARI WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
DTB KUSOMESHA SEKONDARI WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
https://2.bp.blogspot.com/-MIO25Jjv7A8/WCPsmhw_UnI/AAAAAAAAQLs/okfnRBDMhYIFcZNTHLXBek4m_Dc6q02TACLcB/s640/Caption-1web.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-MIO25Jjv7A8/WCPsmhw_UnI/AAAAAAAAQLs/okfnRBDMhYIFcZNTHLXBek4m_Dc6q02TACLcB/s72-c/Caption-1web.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/11/dtb-kusomesha-sekondari-watoto.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/11/dtb-kusomesha-sekondari-watoto.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago