Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

CODES; HAPI ATAJA MAENEO YA MAGULIO KINONDONI

Na Bashir Nkoromo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeainisha maeneo ya magulio kwa ajili ya wafanyabiashara ndogo ndogo, ikiw...


Na Bashir Nkoromo
Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeainisha maeneo ya magulio kwa ajili ya wafanyabiashara ndogo ndogo, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli kuzitaka mamlaka zinazohusika kutenga maeneo ya wafanyabiashara hao kabla ya kuwatimua katika maeneo yasiyoruhisiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake, Mkuu wa Wilaya hiyo, Salum Hapi, ameyataja maeneo hayo kuwa yapo katika kata za Kinondoni, Bunju, Msasani,  Mabwepande,  Kunduchi na Kata ya Wazo.

Hapi amesema, vitu vitakavyoruhiswa kuuzwa kwenye magulio hayo ni bihaa za sokoni, vyombo vya nyumbani,  nguo mpya na mitumba, viatu, urembo, na kwamba kwa ujumla ni bidhaa ambazo hutumiwa na watu katika maisha ya kila siku.

Ametaja mpangilo unaotakiwa kwenye magulio hayo kuwa ni, kupangwa eneo moja bidha zinazofanana, viwepo vyoo vya muda,  na uafi wa eneo la gulio ambao utasimamiwa na Mtendaji Mwenyewe wa eneo husika.
MPANGILIO NA RATIBA  KAMILI YA MAGULIO HAYOCOMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: CODES; HAPI ATAJA MAENEO YA MAGULIO KINONDONI
CODES; HAPI ATAJA MAENEO YA MAGULIO KINONDONI
https://3.bp.blogspot.com/-P2nYelrLsew/WC1y7MuWxxI/AAAAAAABU40/TewfzG9awBMko2E44RHaiKedfJHxzZt7ACLcB/s1600/HAPI.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-P2nYelrLsew/WC1y7MuWxxI/AAAAAAABU40/TewfzG9awBMko2E44RHaiKedfJHxzZt7ACLcB/s72-c/HAPI.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/11/codes-hapi-ataja-maeneo-ya-magulio.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/11/codes-hapi-ataja-maeneo-ya-magulio.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago