Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAPIGA CHENI WALALAMIKIWA KWA KUVIZIA MAGARI JIJINI MWANZA.

"Kama kuna watu wanajua kuvizia, basi hawa jamaa wa cheni wanaongoza, wanaweza kukuona unaelekea kuegesha gari eneo lisilo sahihi...


"Kama kuna watu wanajua kuvizia, basi hawa jamaa wa cheni wanaongoza, wanaweza kukuona unaelekea kuegesha gari eneo lisilo sahihi pengine bila kujua, badala wakuambie, wao hujificha na ukiisha egesha gari utaona wanavyolikimbilia". Amelalamika mmoja wa madereva Jijini Mwanza ambaye gari lake limeviziwa na kufungwa cheni na vijana wanaokusanya ushuru wa maegesho.
Na BMG
Kumekuwepo na malalamiko ya mara kwa mara kwamba huenda wakusanya ushuru hao ni kama wamepewa maagizo ya utendaji kazi ikiwemo kuzingatia kiwango cha kukusanya pesa, hali ambayo husababisha watumie njia za kuvizia ili kufikia lengo hilo.
Hapa ni baada ya dereva kusimamisha gari ili kushusha mzigo wake katika eneo la ofisini, wazee wa cheni wakatimba bila kujua wametokea wapi.
Zoezi likawa gumu kwa wapiga cheni baada ya kulalamikiwa sana.
Mmoja wa watu waliosadikika ni kiongozi wa wakusanya ushuru wa maegesho Jijini Mwanza, akipiga simu kwa mtu ambaye hakujulikana mara moja kufuatia watu wengi kulalamikia utendaji kazi wa wapiga cheni hao.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAPIGA CHENI WALALAMIKIWA KWA KUVIZIA MAGARI JIJINI MWANZA.
WAPIGA CHENI WALALAMIKIWA KWA KUVIZIA MAGARI JIJINI MWANZA.
https://3.bp.blogspot.com/-N1jPyPC_pcA/WBMWgPChatI/AAAAAAAAOuE/7LeqhV3HZZYsBi3lhrdKUBwS53DogBYKwCLcB/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-N1jPyPC_pcA/WBMWgPChatI/AAAAAAAAOuE/7LeqhV3HZZYsBi3lhrdKUBwS53DogBYKwCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/10/wapiga-cheni-walalamikiwa-kwa-kuvizia.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/10/wapiga-cheni-walalamikiwa-kwa-kuvizia.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago