Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SERIKALI YARUHUSU WIMBO WA CHURA WA MSANII SNURA KUPIGWA

 Snura Mushi  Msemaji wa Msanii Snura  Baraka Nyagenda.  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salamm leo.  ...


 Snura Mushi
 Msemaji wa Msanii Snura Baraka Nyagenda. akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salamm leo.
 Msanii Snura Mushi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu kupigwa kwa wimbo wa chura ya kuufunga kwa kuwa haukuwa na maudhui mazuri ya kitanzania. Kushoto ni Msemaji wake, Baraka Nyagenda.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.


 N a Dotto Mwaibale

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu kupigwa kwa wimbo wa chura wa msanii Snura Mushi baada ya kuufunga kwa kuwa haukuwa na maudhui mazuri ya kitanzania.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, Snura Mushi alisema wimbo wake na video umeruhusiwa kupigwa baada ya audio ya chura kufanyiwa marekebisho na kuifanya kuwa katika maudhui ya kitanzania.

Alisema ruhusa hiyo imetolewa kwa barua iliyoaandikiwa Septemba 26, 2016 yenye kumbukumbu HA.26/375/01'B'/137 ambayo gazeti hili lina nakala yake.

Kupitia mkutano huo msanii Snura Mushi kwa mara nyingine aliomba radhi kwa watanzania na Serikali kwa ujumla kwa usumbufu walioupata kwa video yake ya kwanza na kuwaomba waendelee kuiona video mpya iliyorekebishwa baada ya kuifuta ya kwanza.COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SERIKALI YARUHUSU WIMBO WA CHURA WA MSANII SNURA KUPIGWA
SERIKALI YARUHUSU WIMBO WA CHURA WA MSANII SNURA KUPIGWA
https://2.bp.blogspot.com/-ODuiG8rZQAg/V_UQE59Eq2I/AAAAAAAAYDI/XyUrT6UNWTMIh5c9uSipfzrSwTy2POiLACLcB/s640/1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-ODuiG8rZQAg/V_UQE59Eq2I/AAAAAAAAYDI/XyUrT6UNWTMIh5c9uSipfzrSwTy2POiLACLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/10/serikali-yaruhusu-wimbo-wa-chura-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/10/serikali-yaruhusu-wimbo-wa-chura-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago