Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI NCHI AONGOZA WATUMISHI WA WIZARA YAKE KUAGA MWILI WA MWANASHERIA, MAREHEMU YUSTA MSOKA, JIJINI DAR

 Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa akiaga mwili wa Mwanasheria w...

 Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa akiaga mwili wa Mwanasheria wa Wizara hiyo, marehemu, Yusta Msoka, ambaye alifariki wiki iliyopita na mwili wake ulizikwa Mbagala, jijini Dar es Salaam jana. Nyuma ya Mapfa, ni Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wa Wizara hiyo, Jane Massawe. 
 Mkurugenzi wa Idara ya Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba, Afisa Sheria wa Wizara hiyo, Berious Nyasebwa wakiaga mwili wa mwanasheria mwenzao wa Wizara hiyo, marehemu, Yusta Msoka, ambaye alifariki wiki iliyopita na mwili wake ulizikwa Mbagala, jijini Dar es Salaam jana. 
 Mkurugenzi wa Idara ya Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba, akikabidhi rambirambi kwa niaba ya Ofisi ya Mwajiri wa Afisa Sheria, marehemu Yusta Msoka. Kushoto anayepokea rambirambi hiyo ni Mama wa marehemu huyo. Mtumishi huyo alifariki dunia wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es Salaam jana.
 Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE), tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi akisoma wasifu wa Afisa Sheria wa Wizara hiyo, marehemu, Yusta Msoka, ambaye alifariki wiki iliyopita na mwili wake ulizikwa Mbagala, jijini Dar es Salaam jana.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya (kushoto), Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa (kushoto kwa Balozi), Mkurugenzi wa Idara ya Sheria wa Wizara hiyo, Marlin Komba wakiwa katika hali ya huzuni pamoja na waombolezaji wengine wakati wa kuaga mwili wa marehemu, Yusta Msoka, ambaye alifariki wiki iliyopita na mwili wake ulizikwa Mbagala, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI NCHI AONGOZA WATUMISHI WA WIZARA YAKE KUAGA MWILI WA MWANASHERIA, MAREHEMU YUSTA MSOKA, JIJINI DAR
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI NCHI AONGOZA WATUMISHI WA WIZARA YAKE KUAGA MWILI WA MWANASHERIA, MAREHEMU YUSTA MSOKA, JIJINI DAR
https://4.bp.blogspot.com/-d8sbXjONceM/WAdl9kPJ7LI/AAAAAAADjv0/8az7-DfPvmMJLn6QLMxDR6OvQoY-5Ja3gCLcB/s640/PIX%2B1.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-d8sbXjONceM/WAdl9kPJ7LI/AAAAAAADjv0/8az7-DfPvmMJLn6QLMxDR6OvQoY-5Ja3gCLcB/s72-c/PIX%2B1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/10/naibu-katibu-mkuu-wizara-ya-mambo-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/10/naibu-katibu-mkuu-wizara-ya-mambo-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago