Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MUWSA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI ZA KUTOA ELIMU BURE,YACHANGIA MATOFALI 2300 KWA AJILI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA WILAYANI HAI.

Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa tofali 2300 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu ...


Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa tofali 2300 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa wakati wa kukabidhi madawati kwa ajili ya shule ya msingi Msamadi.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akiongozana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (MUWSA),Joyce Msiru wakitizama ujenzi wa madarasa matatu unaoendelea katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akipeana mkono na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msamadi ,Seseama Bayo mara baada ya kupokea matofali 2300 yaliyotolewa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Mafundi wakishusha tofali zilizotolewa na MUWSA kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Msamadi.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) Joyce Msiru akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa .wengine ni watumishi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa madarasa hayo.
Jengo jipya lenye madarasa mawili katika shule ya msingi Msamadi ambalo kwa kiasi kukamilika kwake kutasaidia kupunguza changamoto ya vyumba vya madarasa shuleni hapo.
Moja ya madarasa yaliyopo shuleni hapo kama linavyoonekana ambapo wanafunzi wamekuwa wakikaa chumba kimoja kwa idadi kubwa kuliko uwezo wa darasa.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini. 
KAWAIDA. Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa tofali 2300 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa wakati wa kukabidhi madawati kwa ajili ya shule ya msingi Msamadi. Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akiongozana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (MUWSA),Joyce Msiru wakitizama ujenzi wa madarasa matatu unaoendelea katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai. Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akipeana mkono na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msamadi ,Seseama Bayo mara baada ya kupokea matofali 2300 yaliyotolewa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (MUWSA). Mafundi wakishusha tofali zilizotolewa na MUWSA kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Msamadi. Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) Joyce Msiru akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa .wengine ni watumishi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi. Mafundi wakiendelea na ujenzi wa madarasa hayo. Jengo jipya lenye madarasa mawili katika shule ya msingi Msamadi ambalo kwa kiasi kukamilika kwake kutasaidia kupunguza changamoto ya vyumba vya madarasa shuleni hapo. Moja ya madarasa yaliyopo shuleni hapo kama linavyoonekana ambapo wanafunzi wamekuwa wakikaa chumba kimoja kwa idadi kubwa kuliko uwezo wa darasa. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MUWSA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI ZA KUTOA ELIMU BURE,YACHANGIA MATOFALI 2300 KWA AJILI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA WILAYANI HAI.
MUWSA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI ZA KUTOA ELIMU BURE,YACHANGIA MATOFALI 2300 KWA AJILI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA WILAYANI HAI.
https://3.bp.blogspot.com/-znsOy4pRVUc/V_MsnRSp8-I/AAAAAAAAg8s/dXurH6MxxOQWisoxVCwFzDLgUIa96mAcwCLcB/s640/IMG_1681%2B%25281024x683%2529.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-znsOy4pRVUc/V_MsnRSp8-I/AAAAAAAAg8s/dXurH6MxxOQWisoxVCwFzDLgUIa96mAcwCLcB/s72-c/IMG_1681%2B%25281024x683%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/10/muwsa-yaunga-mkono-jitihada-za-rais.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/10/muwsa-yaunga-mkono-jitihada-za-rais.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago