Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MSANII AY AKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA KWENYE THE NYAMA CHOMA FESTIVAL.

Jana Oktoba 08, 2016 kuamkia leo jumapili Oktoba 09, 2016 ilikuwa Shangwe kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake kwenye ta...


Jana Oktoba 08, 2016 kuamkia leo jumapili Oktoba 09, 2016 ilikuwa Shangwe kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake kwenye tamasha kubwa la "The Nyama Choma Festival" lililofanyika kwenye viunga vya Rock City Mall.

Msanii AY aliwapagawisha wakazi wa Jiji la Mwanza huku wakipata nyama zilizochomwa kwa ustadi wa hali ya juu huku #LakeFmDjz wakidondosha burudani pamoja na DjK3 kutoka Jijini Dar es salaam. Kumbuka 102.5 Lake Fm ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa waliofanikisha tamasha hilo.
Na BMG
Mkali AY akidondosha burudani jukwaani
Shangwe kutoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake
Shangwe kutoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake
"Nafurahi kwa namna Mwanza wanavyosupport kazi zangu, baada ya show hii nitarudi tena Mwanza kwa ajili ya kuwapa burudani zaidi". Anasem AY (kushoto) wakati akizungumza na Vesterjtz wa BMG
Mmoja wa wakazi wa Jiji la Mwanza (kushoto) akizungumza na Hyroun Tambwe (kulia) ambaye mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza kwenye The Nyama Choma Festival
Wananzengo kutoka Lake Fm Mwanza
Lake Fm Team
Wananzengo wa Lake Fm Mwanza
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MSANII AY AKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA KWENYE THE NYAMA CHOMA FESTIVAL.
MSANII AY AKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA KWENYE THE NYAMA CHOMA FESTIVAL.
https://2.bp.blogspot.com/-q0EG5gQlpoY/V_nqOxTWbAI/AAAAAAAAOZ0/Tps2oHPp8cIwUbTch9nPcc54CZOMmjxugCLcB/s640/1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-q0EG5gQlpoY/V_nqOxTWbAI/AAAAAAAAOZ0/Tps2oHPp8cIwUbTch9nPcc54CZOMmjxugCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/10/msanii-ay-akonga-nyoyo-za-wakazi-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/10/msanii-ay-akonga-nyoyo-za-wakazi-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago