Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

DC STAKI ASIMAMIA ZOEZI LA KUCHOMA SHAMBA LILILOLIMWA MIRUNGI

Zao aina ya Mirungi likiteketezwa kwa moto  Wakazi wa Kijiji cha Kisesa Kata ya Vudee wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa shambala ... Wakazi wa Kijiji cha Kisesa Kata ya Vudee wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa shambala Mirungi
Mkulima wa zao la Mirungi Johnson Charles Kangara akiwa ameshika mafuta ya taa tayari kwa ajili ya kuteketeza shamba lake la Mirungi

 Shamba la Mirungi likiteketea baada ya agizo la Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki
 Dc Staki akiwasisitiza wananchi kutojihusisha na kilimo cha zao la Mirungi

Na Mathias Canal, Kilimanjaro

Mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu Uongozi wa Wilaya ya Same ulitangaza vita dhidi ya wakulima wa Bangi, na Mirungi huku akitangaza kuwa kifungo cha miaka 30 kitawahusu wakulima wote wanaojishughulisha na kilimo hicho haramu kwani Bangi na Mirungi ni hatari kwa afya za watumiaji na kuisababishia serikali hasara kwa kutopokea Kodi.

Kiama hicho kilitangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Senyamule wakati akikabidhiwa mradi wa Ruvu muungano uliojumuisha zahanati sita, Nyumba mbili za waganga, matanki saba ya kuvuna maji na madarasa 54, ofisi 16 za walimu, vyumba na vyoo vya chuo cha ufundi makanya uliofadhiliwa na shirika la World Vision Tanzania.

Dc Staki alisema kuwa kwa asilimia kubwa serikali imekuwa ikiwadhibu wanaoingiza Mirungi na Bangi sokoni huku ikiwasahau kuwachukulia hatua wale wote wanalima zao hilo.

Hivi karibu katika kijiji cha kisesa kata ya Vudee Wilayani humo ilibainika kuwa kuna wakulima wa Mirungi ambao wanajihusisha na zao hilo kwa muda mrefu pasina serikali kuwabaini na kuwa sugu kwa kilimo hicho hatimaye kukiona kama kilimo cha halali.

Dc Staki alipotangaza kiama cha kukabiliana na wale wote wanaojihusisha na kilimo hicho aliahidi kuwatafuta wakulima hao na hatimaye kuwachukulia hatua za kisheria na kuhakikisha kuwa Wilaya ya same inakuwa safi pasina kuwa na Mirungi.

Hata hivyo katika ziara yake ya kazi Mhe Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki alipozuru kijiji cha kisesa kata ya Vudee alifanikiwa kumuweka chini ya ulinzi mkulima wa zao la Mirungi Johnson Charles Kangara na hatimaye kumuelekeza kuwasha kiberiti yeye mwenyewe katika shamba zima na kuchoma zao hilo.

Dc Staki ameahidi kuhakikisha Wilaya ya Same inasifika kwa kilimo cha mazao mengine rafiki katika jamii ya Biashara na chakula na kuteketeza mazao yote haramu.

KAWAIDA...! DC STAKI ASIMAMIA ZOEZI LA KUCHOMA SHAMBA LILILOLIMWA MIRUNGI Zao aina ya Mirungi likiteketezwa kwa moto Wakazi wa Kijiji cha Kisesa Kata ya Vudee wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa shambala Mirungi Mkulima wa zao la Mirungi Johnson Charles Kangara akiwa ameshika mafuta ya taa tayari kwa ajili ya kuteketeza shamba lake la Mirungi Shamba la Mirungi likiteketea baada ya agizo la Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Dc Staki akiwasisitiza wananchi kutojihusisha na kilimo cha zao la Mirungi Na Mathias Canal, Kilimanjaro Mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu Uongozi wa Wilaya ya Same ulitangaza vita dhidi ya wakulima wa Bangi, na Mirungi huku akitangaza kuwa kifungo cha miaka 30 kitawahusu wakulima wote wanaojishughulisha na kilimo hicho haramu kwani Bangi na Mirungi ni hatari kwa afya za watumiaji na kuisababishia serikali hasara kwa kutopokea Kodi. Kiama hicho kilitangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Senyamule wakati akikabidhiwa mradi wa Ruvu muungano uliojumuisha zahanati sita, Nyumba mbili za waganga, matanki saba ya kuvuna maji na madarasa 54, ofisi 16 za walimu, vyumba na vyoo vya chuo cha ufundi makanya uliofadhiliwa na shirika la World Vision Tanzania. Dc Staki alisema kuwa kwa asilimia kubwa serikali imekuwa ikiwadhibu wanaoingiza Mirungi na Bangi sokoni huku ikiwasahau kuwachukulia hatua wale wote wanalima zao hilo. Hivi karibu katika kijiji cha kisesa kata ya Vudee Wilayani humo ilibainika kuwa kuna wakulima wa Mirungi ambao wanajihusisha na zao hilo kwa muda mrefu pasina serikali kuwabaini na kuwa sugu kwa kilimo hicho hatimaye kukiona kama kilimo cha halali. Dc Staki alipotangaza kiama cha kukabiliana na wale wote wanaojihusisha na kilimo hicho aliahidi kuwatafuta wakulima hao na hatimaye kuwachukulia hatua za kisheria na kuhakikisha kuwa Wilaya ya same inakuwa safi pasina kuwa na Mirungi. Hata hivyo katika ziara yake ya kazi Mhe Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki alipozuru kijiji cha kisesa kata ya Vudee alifanikiwa kumuweka chini ya ulinzi mkulima wa zao la Mirungi Johnson Charles Kangara na hatimaye kumuelekeza kuwasha kiberiti yeye mwenyewe katika shamba zima na kuchoma zao hilo. Dc Staki ameahidi kuhakikisha Wilaya ya Same inasifika kwa kilimo cha mazao mengine rafiki katika jamii ya Biashara na chakula na kuteketeza mazao yote haramu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: DC STAKI ASIMAMIA ZOEZI LA KUCHOMA SHAMBA LILILOLIMWA MIRUNGI
DC STAKI ASIMAMIA ZOEZI LA KUCHOMA SHAMBA LILILOLIMWA MIRUNGI
https://2.bp.blogspot.com/-fIrMysAE1BI/V_zXe7AtGZI/AAAAAAAABb0/9FboN2zvoFc5dU5OJACBeivvq1rpcNx0gCLcB/s640/1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-fIrMysAE1BI/V_zXe7AtGZI/AAAAAAAABb0/9FboN2zvoFc5dU5OJACBeivvq1rpcNx0gCLcB/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/10/dc-staki-asimamia-zoezi-la-kuchoma.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/10/dc-staki-asimamia-zoezi-la-kuchoma.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago