Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

DC STAKI ASHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA BARABARA

Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule akishiriki katika  shughuli ya uchimbaji wa barabara ya Bureni ...


Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule akishiriki katika  shughuli ya uchimbaji wa barabara ya Bureni Iramba-Kwanamburi
Mmea aina ya Mrungi umekutwa na Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule ukiwa umestawi
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule akiwahutubia wakazi wa Kata ya Vudee katika mkutano wa hadhara

Wakazi wa Kata ya Vudee wakisikiliza kwa makini maagizo ya serikali kupitia kwa Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule
 Wananchi wa Kata ya Vudee wakishiriki zoezi la uchimbaji wa barabara

Na Mathias Canal, Kilimanjaro

Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule amejumuika na wananchi wa Kata ya Vudee katika shughuli ya uchimbaji wa barabara ya Bureni Iramba-Kwanamburi iliyopo katika kijiji cha Bureni Iramba.

Dc Staki amejitokeza katika shughuli hiyo ikiwa ni muendelezo wa kujumuika pamoja katika shughuli za maendeleo ya wananchi na kuwahamasisha kujitokeza katika kufanya Kazi za maendeleo ya vijiji vyao na kuwafanya wananchi kuiamini serikali yao chini ya Rais wa serikali ya awamu ya tano Dkt John Pombe Magufuli.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara Dc Staki amewataka wananchi wa kata hiyo kushirikiana na serikali katika kuchochea shughuli za maendeleo kwani muda wa kampeni umemalizika hivyo kwa sasa ni wakati wa kufanya Kazi kwa bidii ili kuimarisha kauli mbiu ya serikali ya Hapa Kazi Tu.

Kwa upande wao baadhi ya wananchi waliopata nafasi ya kuzungumza n kuuliza maswali wamempongeza Mkuu huyo wa Wilaya kwa namna ambavyo anashiriki shughuli za maendeleo hivyo wamemuahidi kumuunga mkono.

Wananchi wa maeneo hayo wametakiwa kujihusisha na shughuli za maendeleo kwa kulima mazao halali ya biashara ikiwemo kulima tangawizi na kuachana na mazao haramu kama ulimaji wa mirungi.

Mara baada ya mkutano huo wa hadhara Mkuu huyo wa Wilaya aliongozana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya hiyo walielekea katika kijiji cha Kisesa kwenye shamba la mkulima Bw Johnson Charles Mshana ambaye anajihusisha na kilimo cha Mirungi ambaye pia alikataa Barabara na nguzo za umeme wa Tanesco zisipite shambani kwake kwa ajili ya kuboresha shughuli za maendeleo katika kata hiyo ya Vudee na maeneo ya jirani.

Mara baada ya kufika katika shamba hilo mkulima huyo hakuwepo jambo lililopelekea kukamatwa kwa binti yake ambaye alikutwa kwenye shamba hilo la Mirungi
KAWAIDA...! DC STAKI ASHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA BARABARA Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule akishiriki katika shughuli ya uchimbaji wa barabara ya Bureni Iramba-Kwanamburi Mmea aina ya Mrungi umekutwa na Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule ukiwa umestawi Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule akiwahutubia wakazi wa Kata ya Vudee katika mkutano wa hadhara Wakazi wa Kata ya Vudee wakisikiliza kwa makini maagizo ya serikali kupitia kwa Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule Wananchi wa Kata ya Vudee wakishiriki zoezi la uchimbaji wa barabara Na Mathias Canal, Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule amejumuika na wananchi wa Kata ya Vudee katika shughuli ya uchimbaji wa barabara ya Bureni Iramba-Kwanamburi iliyopo katika kijiji cha Bureni Iramba. Dc Staki amejitokeza katika shughuli hiyo ikiwa ni muendelezo wa kujumuika pamoja katika shughuli za maendeleo ya wananchi na kuwahamasisha kujitokeza katika kufanya Kazi za maendeleo ya vijiji vyao na kuwafanya wananchi kuiamini serikali yao chini ya Rais wa serikali ya awamu ya tano Dkt John Pombe Magufuli. Akizungumza katika mkutano wa hadhara Dc Staki amewataka wananchi wa kata hiyo kushirikiana na serikali katika kuchochea shughuli za maendeleo kwani muda wa kampeni umemalizika hivyo kwa sasa ni wakati wa kufanya Kazi kwa bidii ili kuimarisha kauli mbiu ya serikali ya Hapa Kazi Tu. Kwa upande wao baadhi ya wananchi waliopata nafasi ya kuzungumza n kuuliza maswali wamempongeza Mkuu huyo wa Wilaya kwa namna ambavyo anashiriki shughuli za maendeleo hivyo wamemuahidi kumuunga mkono. Wananchi wa maeneo hayo wametakiwa kujihusisha na shughuli za maendeleo kwa kulima mazao halali ya biashara ikiwemo kulima tangawizi na kuachana na mazao haramu kama ulimaji wa mirungi. Mara baada ya mkutano huo wa hadhara Mkuu huyo wa Wilaya aliongozana na Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya hiyo walielekea katika kijiji cha Kisesa kwenye shamba la mkulima Bw Johnson Charles Mshana ambaye anajihusisha na kilimo cha Mirungi ambaye pia alikataa Barabara na nguzo za umeme wa Tanesco zisipite shambani kwake kwa ajili ya kuboresha shughuli za maendeleo katika kata hiyo ya Vudee na maeneo ya jirani. Mara baada ya kufika katika shamba hilo mkulima huyo hakuwepo jambo lililopelekea kukamatwa kwa binti yake ambaye alikutwa kwenye shamba hilo la Mirungi

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: DC STAKI ASHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA BARABARA
DC STAKI ASHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA BARABARA
https://1.bp.blogspot.com/-wv9N74r1uxc/V_VdB8vkNiI/AAAAAAAABaQ/7kPgrYBArf0I89keHBMgcQqmiqjgLCHiACLcB/s640/1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-wv9N74r1uxc/V_VdB8vkNiI/AAAAAAAABaQ/7kPgrYBArf0I89keHBMgcQqmiqjgLCHiACLcB/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/10/dc-staki-ashiriki-katika-shughuli-za.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/10/dc-staki-ashiriki-katika-shughuli-za.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago