Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAMWA YATAKA VYOMBO VYA HABARI NCHINI KUTOA FURSA YA WANAWAKE KUSIKIKA.

Waandishi wa Habari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu, wakiwa kwenye semina iliyofanyika Jumamosi wiki iliyopita Septemba ...


Waandishi wa Habari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu, wakiwa kwenye semina iliyofanyika Jumamosi wiki iliyopita Septemba 23, 2016 Jijini Dar es salaam. 

Semina hiyo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, ambapo pamoja na mambo mengine iliangazia kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuandika habari kuhusu mafanikio na changamo za wanawake ili kufanya jamii iwatambue na hivyo kuwafunguliwa fursa mpya ikiwemo kujitokeza kwenye masuala ya uongozi.
Na BMG
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, Alakok  Mayombo, akifungua semina hiyo.
Kushoto ni mkufunzi katika semina hiyo, Valerie Msoka ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya InterNews tawi la Tanzania. Pia ni Mkurugenzi mstaafu wa TAMWA.
Godfrida Jola ambaye ni Afisa Miradi TAMWA, akizungumza jambo kwenye semina hiyo
Mshiriki
Mshiriki kutoka Kanda ya Ziwa
Mshiriki
Mmoja wa wanasemina
Wanasemina
Mmoja wa wanasemina akichangia jambo
Wanasemina kwenye majadiliano
Wanasemina kwenye majadiliano
Wanasemina kwenye majadiliano
Makabidhiano ya nakala mbalimbali kutoka TAMWA
Kulia ni Godfrida Jola kutoka TAMWA na kushoto ni George Binagi-GB Pazzo kutoka Lake Fm Mwanza & BMG.
*****************************************
Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kutoa fursa kwa wanawake kuonesha umahiri wa utendaji wao wa kazi ili kuleta chachu kwa wanawake wengi zaidi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika jamii.


Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, Alakok  Mayombo, alitoa rai hiyo jumamosi iliyopita kwenye mafunzo kwa wanaandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu yaliyofanyika jijini dar es salaam.

Alisema bado idadi ya wanawake walio kwenye nafasi mbalimbali za uongozi serikalini ni chini ya asilimia 30 kwa nchi za kusini mwa Bara la Afrika ikiwemo Tanzania hivyo waandishi wa habari wana nafasi kubwa kuwahamasisha wanawake kujitokeza kuwania nafasi za uongozi.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo ambayo yaliandaliwa na TAMWA, walisema mafunzo hayo yawatawasaidia kuandaa vipindi bora vitakavyowahamasisha wanawake nchini kujitokea kuwania nafasi za uongozi katika jamii.
                           Soma HAPA Mafunzo ya Kanda ya Ziwa
KAWAIDAAAA Waandishi wa Habari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu, wakiwa kwenye semina iliyofanyika Jumamosi wiki iliyopita Septemba 23, 2016 Jijini Dar es salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, ambapo pamoja na mambo mengine iliangazia kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuandika habari kuhusu mafanikio na changamo za wanawake ili kufanya jamii iwatambue na hivyo kuwafunguliwa fursa mpya ikiwemo kujitokeza kwenye masuala ya uongozi. Na BMG Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, Alakok Mayombo, akifungua semina hiyo. Kushoto ni mkufunzi katika semina hiyo, Valerie Msoka ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya InterNews tawi la Tanzania. Pia ni Mkurugenzi mstaafu wa TAMWA. Godfrida Jola ambaye ni Afisa Miradi TAMWA, akizungumza jambo kwenye semina hiyo Mshiriki Mshiriki kutoka Kanda ya Ziwa Mshiriki Mmoja wa wanasemina Wanasemina Mmoja wa wanasemina akichangia jambo Wanasemina kwenye majadiliano Wanasemina kwenye majadiliano Wanasemina kwenye majadiliano Makabidhiano ya nakala mbalimbali kutoka TAMWA Kulia ni Godfrida Jola kutoka TAMWA na kushoto ni George Binagi-GB Pazzo kutoka Lake Fm Mwanza & BMG. ***************************************** Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kutoa fursa kwa wanawake kuonesha umahiri wa utendaji wao wa kazi ili kuleta chachu kwa wanawake wengi zaidi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika jamii. Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, Alakok Mayombo, alitoa rai hiyo jumamosi iliyopita kwenye mafunzo kwa wanaandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu yaliyofanyika jijini dar es salaam. Alisema bado idadi ya wanawake walio kwenye nafasi mbalimbali za uongozi serikalini ni chini ya asilimia 30 kwa nchi za kusini mwa Bara la Afrika ikiwemo Tanzania hivyo waandishi wa habari wana nafasi kubwa kuwahamasisha wanawake kujitokeza kuwania nafasi za uongozi. Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo ambayo yaliandaliwa na TAMWA, walisema mafunzo hayo yawatawasaidia kuandaa vipindi bora vitakavyowahamasisha wanawake nchini kujitokea kuwania nafasi za uongozi katika jamii. Soma HAPA Mafunzo ya Kanda ya Ziwa

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAMWA YATAKA VYOMBO VYA HABARI NCHINI KUTOA FURSA YA WANAWAKE KUSIKIKA.
TAMWA YATAKA VYOMBO VYA HABARI NCHINI KUTOA FURSA YA WANAWAKE KUSIKIKA.
https://2.bp.blogspot.com/-ztFfJB99K3k/V-pISypTdEI/AAAAAAAAON8/f0qVpvxi5Nkk6SaL9_eABbbctIoR8-E7QCLcB/s640/1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-ztFfJB99K3k/V-pISypTdEI/AAAAAAAAON8/f0qVpvxi5Nkk6SaL9_eABbbctIoR8-E7QCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/09/tamwa-yataka-vyombo-vya-habari-nchini_28.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/09/tamwa-yataka-vyombo-vya-habari-nchini_28.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago