Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA RAIS-TAMISEMI :WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI HAWA HAPA

Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) ...


Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana 2,413 na wavulana 1,505 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili kwa ajili ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wanafunzi ambao hawakuripoti awamu ya kwanza. 
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 1,864 wakiwemo wasichana 1,099 na wavulana 765 sawa na asilimia 47.58 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 2,054 wakiwemo wasichana 1,314 na wavulana 740 sawa na asilimia 52.42 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara. 
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2015 wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili atakuwa amepoteza nafasi hii. 
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2016 inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI

Tumia link hii kupata matokeo : >> Waliochaguliwa kidato cha tano awamu ya pili 2016 Link ya Matokeo ya awali : >> Waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2016

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA RAIS-TAMISEMI :WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI HAWA HAPA
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA RAIS-TAMISEMI :WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI HAWA HAPA
https://1.bp.blogspot.com/-lHu4ygG8N3U/V8g9nB6D0KI/AAAAAAADjUU/EVFVlaOzknsyhG2PguuxfuVIzHW0mKttQCLcB/s1600/index.jpeg
https://1.bp.blogspot.com/-lHu4ygG8N3U/V8g9nB6D0KI/AAAAAAADjUU/EVFVlaOzknsyhG2PguuxfuVIzHW0mKttQCLcB/s72-c/index.jpeg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-ofisi-ya-rais.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/09/taarifa-kwa-umma-kutoka-ofisi-ya-rais.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago