Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS DK. JOHN oMAGUFULI ATINGA OFISINI KWAKE LEO, AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA UHURU

Mwenyekiti wa  CCM Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi waliojitokeza katika Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, wakati akitoka Ofi...


Mwenyekiti wa  CCM Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi waliojitokeza katika Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, wakati akitoka Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, katika Mtaa huo, kwenda Ofisi za Kampuni ya Uhuru Publications Limited, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani  leo. Dk. Magufuli alifika katika ofisi yake leo kufanya kazi zake za kichama kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa CCM.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akifuatana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili katika Ofisi za Uhuru Publications Limited mtaa wa Lumumba, Da es Salaam, ambako baada ya kutembelea baadhi ya ofusi za kampuni hiyo alizungumza na wafanyakazi ambapo ameahidi kutatua kero zinazowakabili kwa muavuli wake wa uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akifuatana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili katika Ofisi za Uhuru Publications Limited mtaa wa Lumumba, Da es Salaam, ambako baada ya kutembelea baadhi ya ofusi za kampuni hiyo alizungumza na wafanyakazi ambapo ameahidi kutatua kero zinazowakabili kwa muavuli wake wa uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasilikiliza  wafanyakazi wa UPL alipowasili katika ofisi hizo leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Mkuu wa Kitengo cha  kompyuta, wa UPL, Moses Makambi akimpatia maelezo Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, alipoingia chumba cha Usanifu wa kurasa,   
Mkuu wa Kitengo cha  kompyuta, wa UPL, Moses Makambi akimpatia maelezo Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, alipoingia chumba cha Usanifu wa kurasa,   
Mkuu wa Kitengo cha  kompyuta, wa UPL, Moses Makambi akimpatia maelezo Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, alipoingia chumba cha Usanifu wa kurasa,   Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Kaimu Mharuri Mtendaji wa UPL. Ramadhani Mkoma akiongoza  Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kuingia katika chumba cha habari kuzungumza na wafanyakazi
Mwenyekiti wa CCM, Rais John  Magufuli akiingia katika chumba cha Habari cha Uhuru Publications kuzungumza na wafanyakazi
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpatia maelezo ya utangulizi, Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli. Kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji, wa UPL Ramadhani Mkoma
Wafanyakazi wakiwa ukumbini
Wafanyakazi wakifuatilia kwa makini  mazungumzo yao na Rais Dk. Magufuli
Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Magufuliu akiandika wakati Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma akieleza changamoto zinazowakabili wafanyakazi katika utendaji kazi wao wa kila siku
Baadhi ya wafanyakazi wakishangilia baada ya Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Magufuli kuahidi kushughulikia kero zao kwa nafasi yake ya Ueneyekiti wa CCm
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Magufuli akimsikiliza Kaimu Mhasibu Mkuu wa UPL huku akinukuu dondoo muhimu
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafayakazi wa UPL cha RAAWU, Moses Makambi akieleza changamoto kwa Dk. Magufuli
Ukumbi wakati wa mkutano wa wafanyakazi wa UPL na Mwenyekiti wa CCM, Dk. Magufuli
Katibu Mkuu wa CCM, akimfafanulia jambo Dk. Magufuli
Wafanyakazi wakiwa wametulia kufuatilia alichokuwa akisema, Dk Magufuli
Dk. Magufuli akitaka ufafanuzi wa jambo kutoka kwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL
Mfayakazi wa UPL  Fred Majaliwa akieleza kero anazooma zinakwamisha utendaji wa kazi za UPL
Rhoda Kangero kutoka Idara ya  Rasilimali watu, akieleza kero na changamoto
Wafanyakazi wa UPL wakimuombea dua Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiondoka ofisi za UPL baada ya kuzungumza na wafanyakazi leo Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na watatu kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshauri jambo, Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli nje ya Ofisi za UPL. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi kabla ya kuondoka  baada ya kuzungumza na wafanyakazi wa UPL
Wafanyakzi wa UPL wakimshangilia Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli wakati akiondoka
ZIFUATAZO NI SHAMRASHAMRA ZA WAFANYAKAZI WA  UPL,  BAADA YA UJIO WA DK. MAGUFULI KATIKA OFISI ZAO LEO
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS DK. JOHN oMAGUFULI ATINGA OFISINI KWAKE LEO, AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA UHURU
RAIS DK. JOHN oMAGUFULI ATINGA OFISINI KWAKE LEO, AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA UHURU
https://2.bp.blogspot.com/-ewTCXcT78F8/V9_SwIaoaOI/AAAAAAABSTw/tRm8gLyX-PoNRJsUXREIcCvKIuTGIaIyACLcB/s640/BN647192.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-ewTCXcT78F8/V9_SwIaoaOI/AAAAAAABSTw/tRm8gLyX-PoNRJsUXREIcCvKIuTGIaIyACLcB/s72-c/BN647192.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/09/rais-dk-john-omagufuli-atinga-ofisini.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/09/rais-dk-john-omagufuli-atinga-ofisini.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago