Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA RASMI KUTOKA IKULU:BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA RAIS LAKUTANA LEO IKULU

 Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo (wa nne kutoka kulia) akiongoza kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi  Ofisi ya Rais, Ikulu, ...


 Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo (wa nne kutoka kulia) akiongoza kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi  Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016
  Katibu Msaidizi Tume ya Maadili (Kanda ya Kusini) Be. Muhuwa R. Kapangawazi akitoa mada kuhusu Maadili ya Utumishi wa Umma na Tamko la Ahadi ya Uadilifu wakati wa kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016
 Kaimu Mshauri wa Kitaalamu Ofisi ya ushauri wa Mafuta na Gesi ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Emma Msaky, akitoa mada kuhusu utendaji wa ofisi yake wakati wa kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016
Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo (wa nne kutoka kulia) na viongozi wengine pamoja na wajumbe wakipata picha ya pamoja baada ya kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016.Picha na IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA RASMI KUTOKA IKULU:BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA RAIS LAKUTANA LEO IKULU
PICHA RASMI KUTOKA IKULU:BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA RAIS LAKUTANA LEO IKULU
https://2.bp.blogspot.com/-IwU0ck-_MDk/V-PmrYupBvI/AAAAAAADjhQ/G8_IK1Iq8_wkQMbpuU9GQiT67D3QrHSEACLcB/s640/b1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-IwU0ck-_MDk/V-PmrYupBvI/AAAAAAADjhQ/G8_IK1Iq8_wkQMbpuU9GQiT67D3QrHSEACLcB/s72-c/b1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/09/picha-rasmi-kutoka-ikulubaraza-la.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/09/picha-rasmi-kutoka-ikulubaraza-la.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago