Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI ARUSHA TAYARI KUFUNGUA MKUTANO WA SARPCCO KESHO

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mkuu wa mkoa wa Arusha Ndugu Mrisho Gambo  ...


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mkuu wa mkoa wa Arusha Ndugu Mrisho Gambo  mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa  Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Lekule Laiza (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbali mbali waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI ARUSHA TAYARI KUFUNGUA MKUTANO WA SARPCCO KESHO
MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI ARUSHA TAYARI KUFUNGUA MKUTANO WA SARPCCO KESHO
https://4.bp.blogspot.com/-HiXZL_ViRos/V9qqways8tI/AAAAAAAAywI/PLKNMFyRRnUqCL74dNzDGZixRBfVGgSbwCLcB/s640/2.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-HiXZL_ViRos/V9qqways8tI/AAAAAAAAywI/PLKNMFyRRnUqCL74dNzDGZixRBfVGgSbwCLcB/s72-c/2.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/09/makamu-wa-rais-awasili-mkoani-arusha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/09/makamu-wa-rais-awasili-mkoani-arusha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago