Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

IKULU:RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MABWENI (HOSTEL) ZA WANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda kwenye gorofa ya kwanza katika  mojawapo ya mabweni yanayo...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda kwenye gorofa ya kwanza katika  mojawapo ya mabweni yanayojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 3840 kwa wakati mmoja na yatakamilika mwezi wa kumi na mbili.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kuhusu ujenzi wa mabweni hayo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafuzi zaidi ya 3840.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia kwa furaha maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo unavyoendelea kwa kasi katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaa.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kuhusu ujenzi wa mabweni hayo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo(TBA) Arch. Elius Mwakalinga, Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafuzi zaidi ya 3840.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza  mara baada ya kukagua ujenzi wa mabweni katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi waojenga mabweni hayo kutoka kwa Wakala wa Majengo nchini TBA. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako, Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Elius Mwakalinga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Joseph Nyamhanga, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hamfrey Polepole.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi waojenga mabweni hayo kutoka TBA.Picha na IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: IKULU:RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MABWENI (HOSTEL) ZA WANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
IKULU:RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MABWENI (HOSTEL) ZA WANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
https://3.bp.blogspot.com/-xE1aIgvYMT4/V87Ox5t5gqI/AAAAAAADjYc/PbiF7SP4nLgwbNnawZTQaJxvkwzTCNUJgCLcB/s640/1.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-xE1aIgvYMT4/V87Ox5t5gqI/AAAAAAADjYc/PbiF7SP4nLgwbNnawZTQaJxvkwzTCNUJgCLcB/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/09/ikulurais-dkt-magufuli-akagua-ujenzi-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/09/ikulurais-dkt-magufuli-akagua-ujenzi-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago