Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

CGP - JOHN MINJA AMVISHA CHEO CHA KAMISHNA MSAIDIZI AFISA MWANDAMIZI WA MAGEREZA ALIYEKUWA AKIHUDUMU KATIKA MAANDALIZI YA PROGRAMU ZA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

 Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi wa Magereza, Afisa Mwandamizi wa Ma...

 Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi wa Magereza, Afisa Mwandamizi wa Magereza, Gideon Matani ambaye alikuwa Nchini Namibia kwa jukumu la kuandaa Pogramu za Mafunzo ya Uendeshaji wa Magereza wa nchi hiyo kwa muda wa miaka miwili mfululizo. Hafla hiyo imefanyika leo Septemba 3, 2016 Makao Makuu ya Magereza, Jijini Dar es Salaam.
  Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akimvisha Kofia ya cheo cha Kamishna Msaidizi wa Magereza, Afisa Mwandamizi wa Magereza, Gideon Matani.
 Makamishna wa Magereza wakifuatilia zoezi la uvishaji cheo hicho kwa  Afisa Mwandamizi wa Magereza, Gideon Matanicha  ambaye alikuwa Nchini Namibia kwa jukumu la kuandaa Pogramu za Mafunzo ya Uendeshaji wa Magereza wa nchi hiyo(kushoto) ni Kamishna wa Utawala na Fedha, Gaston Sanga(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa.ha zote na Lucas Mboje wa Magereza

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: CGP - JOHN MINJA AMVISHA CHEO CHA KAMISHNA MSAIDIZI AFISA MWANDAMIZI WA MAGEREZA ALIYEKUWA AKIHUDUMU KATIKA MAANDALIZI YA PROGRAMU ZA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA
CGP - JOHN MINJA AMVISHA CHEO CHA KAMISHNA MSAIDIZI AFISA MWANDAMIZI WA MAGEREZA ALIYEKUWA AKIHUDUMU KATIKA MAANDALIZI YA PROGRAMU ZA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA
https://2.bp.blogspot.com/-7vh8rCsHsUw/V8mMHQhUMZI/AAAAAAADjUw/-JLW_zR2yvUlLdOWF-sSU8SrPpGDLfWVgCLcB/s640/PIX%2B1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-7vh8rCsHsUw/V8mMHQhUMZI/AAAAAAADjUw/-JLW_zR2yvUlLdOWF-sSU8SrPpGDLfWVgCLcB/s72-c/PIX%2B1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/09/cgp-john-minja-amvisha-cheo-cha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/09/cgp-john-minja-amvisha-cheo-cha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago