Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA ENEO LILILOTOKEA TUKIO LA MAUWAJI YA ASKARI POLISI HUKO MBAGARA, JIJINI DAR

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimjulia hali mmoja wa Raia aliejeruhiwa katika tukio hilo.  Waziri wa Mambo ya...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akimjulia hali mmoja wa Raia aliejeruhiwa katika tukio hilo.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro wakionyesha maeneo mbali mbali ya Gari la Polisi lilivyoshambuliwa.
Muonekano wa gari ya Polisi iliyokuwa ikitumiwa na Askari hao.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro, wakati walipokuwa eneo la tukio hilo
---

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo, alifika eneo la Mbagara Mbande Wilayani Temeke, Jijini Dar es salaam na kujionea eneo lilipofanyika tukio baya la uhalifu wa kutumia silaha ambapo inadaiwa kuwa watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi zaidi ya saba wakiwa na silaha za vita, walivamia eneo la Benki ya CRDB - Mbande na kuwashambulia kwa risasi Askari waliokuwepo eneo hilo na kupekea vifo vya askari hao ambao walikuwa wanne wakati walipokuwa wakishuka  kwenye gari tayari kwa kupokezana lindo.

Waziri Nchemba pia aliwatembelea na kuwajulia hali majeruhi ambao ni raia wa kawaida wawili, ambao hali zinaendelea vizuri.

Waziri Nchemba amelaani tukio hilo na matukio mengine kama haya, na kutoa rai kwa wahusika kujisalimisha wenyewe, na kuwaomba wananchi na raia wema kutoa ushirikiano wa kifichua waovu wa matukio ya namna hiyo na mengine mengi, ili kupambana na wahalifu hao wanaotuzunguka kwenye maeneo yetu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA ENEO LILILOTOKEA TUKIO LA MAUWAJI YA ASKARI POLISI HUKO MBAGARA, JIJINI DAR
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA ENEO LILILOTOKEA TUKIO LA MAUWAJI YA ASKARI POLISI HUKO MBAGARA, JIJINI DAR
https://1.bp.blogspot.com/-7N1vpChP0qA/V72HxhTbWFI/AAAAAAADjIw/lApt3S13XH0zw4cpLhZSOtv2Fr1JqV7xgCLcB/s640/WhatsApp%2BImage%2B2016-08-24%2Bat%2B09.44.18.jpeg
https://1.bp.blogspot.com/-7N1vpChP0qA/V72HxhTbWFI/AAAAAAADjIw/lApt3S13XH0zw4cpLhZSOtv2Fr1JqV7xgCLcB/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2016-08-24%2Bat%2B09.44.18.jpeg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/waziri-wa-mambo-ya-ndani-atembelea-eneo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/waziri-wa-mambo-ya-ndani-atembelea-eneo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago