Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akiongoza mkutano huo wa Kamati wakati wa kuwasilisha musw...
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na
Watoto Mh. Ummy Mwalimu akiongoza mkutano huo wa Kamati wakati wa
kuwasilisha muswada wa kutunga Sheria ya
wanataaluma wa kemia mbele ya kamati ya Kudumu ya Bunge.
Naibu Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mh.Dk. Hamisi Kigwangalla
(kulia) akifuatilia mkutano huo). Wengine ni maafisa wakuu wa ofisi ya Mkemia.
Baadhi ya
wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika
mkutano huo
Mkemia Mkuu
wa Serikali Prof. Samwel V. Manyele (Katikati) akifuatilia mkutano huo wa Kamati
mjini Dodoma
Baadhi ya
wajumbe wa Kamati wakijadiliana jambo wakati wa mapunziko ya kamati hiyo ya
Huduma za Maendeleo ya Jamii.