Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF MKOANI ARUSHA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kush...


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akiwaongoza Wakuu wa mikoa kutoka kushoto,Mhandisi Mathew Mtigumwe(Singida),Dk Joel Bendera(Manyara),Said Meck Sadick(Kilimanjaro)na Martine Shighela(Tanga).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akifungua mkutano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(Tafas)walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,Ladislaus  Mwamanga na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick.

Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf.

Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida,Dk Joel Bendera wa Manyara(katikati) na Martine Shighela wa Tanga.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus  Mwamanga akizungumza katika mkutano huo.

Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga,Godwini Gondwe  akizungumza  katika mkutano huo.

Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba  akizungumza  katika mkutano huo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF MKOANI ARUSHA
WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF MKOANI ARUSHA
https://2.bp.blogspot.com/-YtNx2HMgRaI/V7XKHZTzMkI/AAAAAAAAF6c/lbnYrtlVoRI0ROsENMCw5wemzYt7JE2zACLcB/s640/1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-YtNx2HMgRaI/V7XKHZTzMkI/AAAAAAAAF6c/lbnYrtlVoRI0ROsENMCw5wemzYt7JE2zACLcB/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/waziri-angellah-kairuki-afungua-mkutano.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/waziri-angellah-kairuki-afungua-mkutano.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago