Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAUMINI WA KKKT MTAA WA KULASI WILAYANI KOROGWE WAJENGEWA KANISA JIPYA.

Muonekano wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki...


Muonekano wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe .
  Muonekano wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe .
Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe wakiandamana wakati wa sherehe ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa lililojengwa na wazawa wa kijiji hicho waishio maeneo mbalimbali nchini.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga (wa kwanza kushoto) akiongoza wachungaji wa kanisa hilo kupokea waumini wakati wa ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
  Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akiongoza ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Baadhi ya Waumini wa kanisa hilo wakiimba nyimbo wakati wa  ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
  Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akikata utepe kufungua rasmi jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akifungua mlango wa kanisa ili waumini wapate kuingia ndani.
Muonekano wa ndani wa jengo jipya la Kanisa la KKKT mtaa wa kulasi.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akisoma neno mara baada ya waumini kuingia ndani ya kanisa hilo.
Waumini wa kanisa la Mtaa wa Kulasi wakiwa wameshika kuta za kanisa hilo wakati wa sala ya kubariki jengo la kanisa.
Baadhi ya waumini wa kanisa la mtaa wa Kulasi wakiwa katika ibada hiyo .
Kwaya Walawi ya jijini Arusha ikiimba nyimbo za kusifu  kwa watu waliojitoa kwa ajili ya ujenzi wa kanisa hilo.
Mchungaji Kiongozi .........akitoa salamu kwa wauimini waliohudhuria ibada hiyo maalumu ya ufunguzi wa kanisa hilo.
Kwaya ya watoto wa kanisa la mtaa wa Kulasi wakiiiomba nyimbo wakati wa ibada hiyo.
  Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akitoa mahubiri katika ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akimpa mkono Sayuni Shelutete kwa kushiriki katika utoaji wa msaada wa ujenzi wa kanisa hilo.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akimpa mkono Pascal Shelutete kwa kushiriki katika utoaji wa msaada wa ujenzi wa kanisa hilo.
Waumini wa kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe wakitoa zawadi kwa familia ya Pascal Shelutete kwa msaada waliotoa kwa ajili ya kufanikisha kazi ya ujenzi wa kanisa la mtaa wa Kulasi.
Kiongozi wa familia ya Mzee Shelutete,Bwana Nicolaus Kingazi  akizungumza  kwa niaba ya familia hiyo wakati wa ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akihitimisha ibada ya ufunguzi wa kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akipeana mikono na wachungaji mara baada ya kumaliza ibada ya ufunguzi wa jengo la kanisa.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akisaidiana na Pascal Shelutete kuotesha mti wa kumbukumbu katika viunga vya kanisa hilo.
Bwana,Pascal Shelutete (Kushoto) na Bibi Sayuni Shelutete (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na  Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga mara baada ya kukamilika kwa ibada ya ufunguzi wa kanisa jipya la mtaa wa Kulasi.

Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog,Kanda ya Kaskazini.
kawaida. Muonekano wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe . Muonekano wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe . Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe wakiandamana wakati wa sherehe ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa lililojengwa na wazawa wa kijiji hicho waishio maeneo mbalimbali nchini. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga (wa kwanza kushoto) akiongoza wachungaji wa kanisa hilo kupokea waumini wakati wa ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akiongoza ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Baadhi ya Waumini wa kanisa hilo wakiimba nyimbo wakati wa ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akikata utepe kufungua rasmi jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akifungua mlango wa kanisa ili waumini wapate kuingia ndani. Muonekano wa ndani wa jengo jipya la Kanisa la KKKT mtaa wa kulasi. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akisoma neno mara baada ya waumini kuingia ndani ya kanisa hilo. Waumini wa kanisa la Mtaa wa Kulasi wakiwa wameshika kuta za kanisa hilo wakati wa sala ya kubariki jengo la kanisa. Baadhi ya waumini wa kanisa la mtaa wa Kulasi wakiwa katika ibada hiyo . Kwaya Walawi ya jijini Arusha ikiimba nyimbo za kusifu kwa watu waliojitoa kwa ajili ya ujenzi wa kanisa hilo. Mchungaji Kiongozi .........akitoa salamu kwa wauimini waliohudhuria ibada hiyo maalumu ya ufunguzi wa kanisa hilo. Kwaya ya watoto wa kanisa la mtaa wa Kulasi wakiiiomba nyimbo wakati wa ibada hiyo. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akitoa mahubiri katika ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akimpa mkono Sayuni Shelutete kwa kushiriki katika utoaji wa msaada wa ujenzi wa kanisa hilo. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akimpa mkono Pascal Shelutete kwa kushiriki katika utoaji wa msaada wa ujenzi wa kanisa hilo. Waumini wa kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe wakitoa zawadi kwa familia ya Pascal Shelutete kwa msaada waliotoa kwa ajili ya kufanikisha kazi ya ujenzi wa kanisa la mtaa wa Kulasi. Kiongozi wa familia ya Mzee Shelutete,Bwana Nicolaus Kingazi akizungumza kwa niaba ya familia hiyo wakati wa ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akihitimisha ibada ya ufunguzi wa kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akipeana mikono na wachungaji mara baada ya kumaliza ibada ya ufunguzi wa jengo la kanisa. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akisaidiana na Pascal Shelutete kuotesha mti wa kumbukumbu katika viunga vya kanisa hilo. Bwana,Pascal Shelutete (Kushoto) na Bibi Sayuni Shelutete (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga mara baada ya kukamilika kwa ibada ya ufunguzi wa kanisa jipya la mtaa wa Kulasi. Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog,Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAUMINI WA KKKT MTAA WA KULASI WILAYANI KOROGWE WAJENGEWA KANISA JIPYA.
WAUMINI WA KKKT MTAA WA KULASI WILAYANI KOROGWE WAJENGEWA KANISA JIPYA.
https://3.bp.blogspot.com/-9IJAVBsiuYU/V57LEgJFAwI/AAAAAAAAf34/cZRwEEyWDlwANCnZKc1HYeBHJ2HEFZ8OACLcB/s640/IMG_5277%2B%25281024x683%2529.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-9IJAVBsiuYU/V57LEgJFAwI/AAAAAAAAf34/cZRwEEyWDlwANCnZKc1HYeBHJ2HEFZ8OACLcB/s72-c/IMG_5277%2B%25281024x683%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/waumini-wa-kkkt-mtaa-wa-kulasi-wilayani.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/waumini-wa-kkkt-mtaa-wa-kulasi-wilayani.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago