Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Wananchi wametakiwa kuwa makini na mtu au taasisi binafsi zinazopita na kuwadanganya kwa kuwatoza fedha za usajili wa kikundi kwa ajili ya kufaidika na mpango wa Millioni 50 kwa kila kijiji kama zilivyoahidiwa na Serikali ya awamu ya tano.

  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(NEEC) Bi. Beng’i Issa akizungumza na waandishi wa habari pamoja n...

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(NEEC) Bi. Beng’i Issa akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wafanyakaz wa baraza hilo hawapo pichani alipozungumzia kuhusu mkakati wa mradi wa Milioni 50 zitolewazo na Serikali kwa kila kijiji leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa  Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(NEEC) wakifatilia kwa kwa makini maelezo ya  Katibu Mtendaji wa (NEEC) Bi. Beng’i Issa hayupo pichani alipozungumzia kuhusu mkakati wa mradi wa Milioni 50 zitolewazo na Serikali kwa kila kijiji leo jijini Dar es salaam.
---
Abushehe Nondo-Maelezo
Wananchi wametakiwa kuwa makini na mtu au taasisi binafsi zinazopita na kuwadanganya kwa kuwatoza fedha za usajili wa kikundi kwa ajili ya kufaidika na mpango wa Millioni 50 kwa kila kijiji kama zilivyoahidiwa na Serikali ya awamu ya tano.  

Akizungumza na  waandishi wa habari Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi  Bi. Beng’i Issa amesema kuwa kuna taasisi binafsi zimejitokeza na kuwatoza fedha za usajili wa kikundi ili kuweza kufaidika na mradi huo kinyume na taratibu za Serikali.

Bi. Issa amesema kuwa hivi karibuni kumekuwa na taarifa kutoka sehemu mbalimbali nchini kuwa baadhi ya taasisi na watu binafsi wanawadanganya wananchi kuwa mpango wa shilingi milioni 50 kwa kila kijiji zitapitia kwenye taasisi zao na kuwatoza wananchi fedha za usajili.

“Wananchi wasirubuniwe na kutoa fedha za usajili kwa ajili ya kupata fedha za mradi huo kwani hakuna malipo yoyote na bado ugawaji huo haujaanza” alisema Bi. Issa.

Aidha Bi. Issa amesema kuwa mradi huo bado haujaanza kutolewa kwa kuwa  Serikali bado inapanga utaratibu wa kuwafikia wananchi wa vijiji vyote nchini ili  kunufaika na mradi huo.

Mbali na hayo Bi. Issa ametoa rai kwa watanzania wasihadaike na taasisi hizo na kutoa onyo kali kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na zoezi hilo hatua kali zitachukuliwa zidi  yake

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Wananchi wametakiwa kuwa makini na mtu au taasisi binafsi zinazopita na kuwadanganya kwa kuwatoza fedha za usajili wa kikundi kwa ajili ya kufaidika na mpango wa Millioni 50 kwa kila kijiji kama zilivyoahidiwa na Serikali ya awamu ya tano.
Wananchi wametakiwa kuwa makini na mtu au taasisi binafsi zinazopita na kuwadanganya kwa kuwatoza fedha za usajili wa kikundi kwa ajili ya kufaidika na mpango wa Millioni 50 kwa kila kijiji kama zilivyoahidiwa na Serikali ya awamu ya tano.
https://2.bp.blogspot.com/-jmIjDcocY6c/V7r8UXL7XFI/AAAAAAADi_o/p4SXL-_25jkH8JrBHWlgc0s2idvS_Hv3wCLcB/s640/NEEC1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-jmIjDcocY6c/V7r8UXL7XFI/AAAAAAADi_o/p4SXL-_25jkH8JrBHWlgc0s2idvS_Hv3wCLcB/s72-c/NEEC1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/wananchi-wametakiwa-kuwa-makini-na-mtu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/wananchi-wametakiwa-kuwa-makini-na-mtu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago