Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

UFUNGUZI WA MAFUNZO KUHUSU MWONGOZO WA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UMMA KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA YANAYOFANYIKA JIJINI MWANZA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UFUNDI STADI (VETA) TAREHE 22 HADI 26, AGOSTI 2016

 Bi. Lorah Madete, Kaimu Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya Mipango, akitoa neno kwa washiriki wa mafunzo kabla ya ...

 Bi. Lorah Madete, Kaimu Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya Mipango, akitoa neno kwa washiriki wa mafunzo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi ili afungue mafunzo hayo ya siku tano.  Waliokaa ni Bw. Maduka Paul Kessy, Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uzalishaji, Tume ya Mipango (katikati) na Bw. John Mduma, Mhadhiri Mwanamizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Bw. Maduka Paul Kessy, Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uzalishaji, Tume ya Mipango (aliyesimama) akitoa hotuba kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa mafunzo kuhusu Mwongozo wa Usimamizi wa Rasilimali za Umma kwa washiriki kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Geita and Simiyu. Wengine ni Bi. Lorah Madete, Kaimu Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya Mipango (kushoto) na Bw. John Mduma, Mhadhiri Mwandamizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (kulia).
 Muwezeshaji Dr. Kenneth Mdadila, Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akishusha nondo kwa washiriki wa mafunzo hayo.
 Washiriki wa Mafunzo wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yanayofanyika Jijini Mwanza katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi (Veta).
 Washiriki wakisikiliza na kufuatilia kwa makini mafunzo waliyokua wakipata kutoka kwa muwezeshaji.
Washiriki wa mafunzo kuhusu Mwongozo wa Usimamizi wa Rasilimali za Umma kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Geita and Simiyu pamoja na wawezeshaji wa mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo.
Picha zote Na: Thomas Nyindo-Tume ya Mipango

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: UFUNGUZI WA MAFUNZO KUHUSU MWONGOZO WA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UMMA KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA YANAYOFANYIKA JIJINI MWANZA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UFUNDI STADI (VETA) TAREHE 22 HADI 26, AGOSTI 2016
UFUNGUZI WA MAFUNZO KUHUSU MWONGOZO WA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UMMA KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA YANAYOFANYIKA JIJINI MWANZA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UFUNDI STADI (VETA) TAREHE 22 HADI 26, AGOSTI 2016
https://4.bp.blogspot.com/-tWpOG1hMzLQ/V7xnIpRW2wI/AAAAAAADjFg/lsOO5WsH6F4ZaYgPYDXZkM8TxlEs4U_mQCLcB/s640/DSC03072.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-tWpOG1hMzLQ/V7xnIpRW2wI/AAAAAAADjFg/lsOO5WsH6F4ZaYgPYDXZkM8TxlEs4U_mQCLcB/s72-c/DSC03072.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/ufunguzi-wa-mafunzo-kuhusu-mwongozo-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/ufunguzi-wa-mafunzo-kuhusu-mwongozo-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago