Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TANZIA: MAZISHI YA ADDAH ALEX MAGERE (BINTI BINAGI) WA JIJINI DAR ES SALAAM YAFANYIKA MKOANI MARA.

Mazishi ya Addah Alex Chacha Magere (Binti Binagi), aliyekuwa akiishi Jijini Dar es salaam, yamefanyika jana Agost 23,2016 katika Kiji...


Mazishi ya Addah Alex Chacha Magere (Binti Binagi), aliyekuwa akiishi Jijini Dar es salaam, yamefanyika jana Agost 23,2016 katika Kijiji cha Waigero Wilaya ya Butiama mkoani Mara.

Alifariki dunia Agost 19,2016 Jijini Dar baada ya kuugua kwa miezi kadhaa ambapo ameacha mme na watoto watatu. Mauti yamemkuta akiwa na miaka 57. Pumzika kwa Amani, Adda (1959-2016), Amen!
Mchungaji Machumu Julius Machumu wa Kanisa la Waadventist Wasabatho SDA, akiongoza ibada ya mazishi.
Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na mafariki wote walioguswa na msiba huu. Picha zaidi Bonyerza Hapa

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TANZIA: MAZISHI YA ADDAH ALEX MAGERE (BINTI BINAGI) WA JIJINI DAR ES SALAAM YAFANYIKA MKOANI MARA.
TANZIA: MAZISHI YA ADDAH ALEX MAGERE (BINTI BINAGI) WA JIJINI DAR ES SALAAM YAFANYIKA MKOANI MARA.
https://3.bp.blogspot.com/-71CqHDVrhb0/V71PXEO3wBI/AAAAAAAANvw/NSyb8OQLLJkwZueB_UDWsyIb8ns-niLqACLcB/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-71CqHDVrhb0/V71PXEO3wBI/AAAAAAAANvw/NSyb8OQLLJkwZueB_UDWsyIb8ns-niLqACLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/tanzia-mazishi-ya-addah-alex-magere.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/tanzia-mazishi-ya-addah-alex-magere.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago