Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAMWA YAWAKUTANISHA WANAHABARI KANDA YA ZIWA KUJADILI MAFANIKIO NA CHANGAMOTO KABLA NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU.

Chama cha Wanahabari Wanawake nchini, TAMWA, kimewakutanisha wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, kujadili namna mafunzo yaliyoto...


Chama cha Wanahabari Wanawake nchini, TAMWA, kimewakutanisha wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, kujadili namna mafunzo yaliyotolewa na chama hicho kwa wanahabari hao wakati wa kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, kwa kuangazia usawa wa kijinsia kati ya Wanawake na Wanaume katika mchakato wa uchaguzi huo.

Pichani ni wanahabari hao wakiwa kwenye semina ya siku mbili kuanzia leo, inayofafanyika Jijini Mwanza, ambapo imelenga kujadili namna mafunzo yaliyotolewa mwaka jana na TAMWA kwa kushirikiana na taasisi ya INTERNEWS yalivyosaidia katika suala la usawa wa kijinsia kabla na baada ya uchaguzi mkuu pamoja na changamoto zilizojitokeza.
Na George Binagi-GB Pazzo
Mkufunzi wa semina hiyo, Deodetus Balile, ambaye pia ni Mhariri gazeti la Jamuhuri.
Semina kwa Wanahabari Kanda ya Ziwa
Godfrida Jola (kulia) akiteta jambo na Edson Sosten (kushoto), wote ni Maafisa Miradi TAMWA.
Baadhi ya Wanahabari Kanda ya Ziwa, wanaoshiriki Semina ya TAMWA Jijini Mwanza
Wanasemina

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAMWA YAWAKUTANISHA WANAHABARI KANDA YA ZIWA KUJADILI MAFANIKIO NA CHANGAMOTO KABLA NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU.
TAMWA YAWAKUTANISHA WANAHABARI KANDA YA ZIWA KUJADILI MAFANIKIO NA CHANGAMOTO KABLA NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU.
https://3.bp.blogspot.com/-pC31wsRvKT4/V7bgkj1s94I/AAAAAAAANns/GcOTEuS1zDA2r5g2ogb2-srKkAn-Ci7KwCLcB/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-pC31wsRvKT4/V7bgkj1s94I/AAAAAAAANns/GcOTEuS1zDA2r5g2ogb2-srKkAn-Ci7KwCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/tamwa-yawakutanisha-wanahabari-kanda-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/tamwa-yawakutanisha-wanahabari-kanda-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago