Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha: Ukweli Kuhusu Mapambano ya Polisi na Majambazi Vikindu

  Eneo la Mtaa wa Vikindu Mashariki mkoani Pwani kwenye nyumba ya mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Mzee Manitu paligeuka uwanja...

 Eneo la Mtaa wa Vikindu Mashariki mkoani Pwani kwenye nyumba ya mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Mzee Manitu paligeuka uwanja wa mapambano baada ya polisi kuizingira nyumba hiyo na kupiga risasi nyingi hewani wakati wakimtaka jambazi anayetuhumiwa kufanya mauaji ya katika tukio la kuuawa askari polisi wanne waliokuwa wakibadilishana lindo kwenye Benki ya CRDB Tawi la Mbande wialayani Temeke jijini Dar. Katika tukio hilo Afisa wa Polisi mwenye cheo cha ASP Thomas Njuki wa Kikosi Maalum cha Kupambana na Ujambazi ameuawa

 Baada ya jambazi huyo kumuua askari, jeshi la polisi liliongeza nguvu eneo hilo na kupiga mabomu na risasi nyingi hewani zilisababisha taharuki katika eneo hilo na kusababisha kila mmoja aseme lake.

 Mapaparazi wetu baada ya kufika eneo hilo walitaka kuzungumzia na maofisa wa polisi waliokuwa eneo hilo akiwemo, RPC wa Pwani, Bonaventura Mushongi, Gilles na Kamishna Mwandamizi wa Jeshi hilo, Liberatus Sabas lakini wote walisema hawawezi kuongea chochote mpaka wapate ruhusa kutoka ngazi za juu kwa kuwa tukio hilo si la Kimkoa bali ni la Kitaifa.

 Licha ya viongozi hao kukataa kuzungumza, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vikindu Mashariki, Mohammed Ismaili ambaye alikuwa bega kwa bega na askari hao alisema kwenye nyumba hiyo walikuwa wakiishi wanaume 7 ambapo walikutwa wanaume 3 na wanawake 3 ambapo mwanaume mmoja aliyetajwa kumuua Afisa huyo wa Polisi alitoroka pamoja na silaha yake.

 Hakuna Jambazi yeyote aliyeuawa katika tukio hilo zaidi ya afisa huyo wa polisi.HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS/ ISSA MNALLY /GPL. www.globalpublishers.co.tz

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha: Ukweli Kuhusu Mapambano ya Polisi na Majambazi Vikindu
Picha: Ukweli Kuhusu Mapambano ya Polisi na Majambazi Vikindu
https://1.bp.blogspot.com/-HR6MmMvDksg/V8BpX_sTgCI/AAAAAAADjN0/nh-4Ly6agBI7qydp__mHnH9CMOiLs18_wCLcB/s640/IMG_7814.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-HR6MmMvDksg/V8BpX_sTgCI/AAAAAAADjN0/nh-4Ly6agBI7qydp__mHnH9CMOiLs18_wCLcB/s72-c/IMG_7814.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/picha-ukweli-kuhusu-mapambano-ya-polisi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/picha-ukweli-kuhusu-mapambano-ya-polisi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago