Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MSAJILI wa vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu, Francis Mutungi amesema masuala yote ya sintofahamu kwa wa vyama vya siasa yatatuliwa katika meza ya majadiliano na si vinginevyo.

 Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,Jaji Mstaafu,Francis Mutungi --- Na Chalila Kibuda , Globu ya Jamii . MSAJILI wa vyama... Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,Jaji Mstaafu,Francis Mutungi
---

Na Chalila Kibuda , Globu ya Jamii .
MSAJILI wa vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu, Francis Mutungi amesema masuala yote ya  sintofahamu kwa wa vyama vya siasa yatatuliwa katika meza ya majadiliano na si vinginevyo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Jaji Mutungi amesema kuwa kuna taharuki au hofu ambayo inajengwa kwa wadau wa siasa ambayo inahitaji kuwepo mazungumzo kutokana na taratibu zinazohusu utawala bora.Amesema kuwa utawala bora ni kuheshimu miundombinu iliyowekwa kwa kufuata sheria zake na bila kufanya hivyo miundombinu haitakuwa imetendewa haki kwa watu kufanya chochote bila kuangalia misingi iliyowekwa katika miundombinu hiyo.

Amesema kuwa Baraza la vyama vya siasa limeandaa mkutano wa wadau wa vyama vya siasa pamoja na watu wengine kuweza kuzungumza masuala mbalimbali ambayo yamejitokeza katika kipindi hiki na kupatiwa ufumbuzi wa sintofahamu miongoni mwa  wadau.

Jaji Mutungi amesema kuwa baraza la vyama vya siasa linatarajia kukaa  Agosti 29 na 30 kutaka wadau wote waweze kushiriki ili kutafuta suluhu kwa yale ambayo yamejitokeza sambamba na kuyatafutia suluhu katika kuendelea kulinda amani ya nchi yetu.

Amesema  siku zote watu wanatafuta mwafaka wa jambo lolote katika meza ya mazungumzo na kupata suluhu katika kulinda amani ya nchi yetu.

Aidha amesema suala la Chama cha Wananchi (CUF) anaangalia na kuona jinsi gani anaweza kushauri kutokana na kuwa mlezi wa vyama vyote ambavyo vimepata usajili katika ofisi yake.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MSAJILI wa vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu, Francis Mutungi amesema masuala yote ya sintofahamu kwa wa vyama vya siasa yatatuliwa katika meza ya majadiliano na si vinginevyo.
MSAJILI wa vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu, Francis Mutungi amesema masuala yote ya sintofahamu kwa wa vyama vya siasa yatatuliwa katika meza ya majadiliano na si vinginevyo.
https://4.bp.blogspot.com/-NjZVmKlq8UA/V7xVPgxNyzI/AAAAAAADjCQ/g1G7SPFwx-gSLqcUT4CYjUfmsH-ACn_-QCLcB/s640/DSC_1176.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-NjZVmKlq8UA/V7xVPgxNyzI/AAAAAAADjCQ/g1G7SPFwx-gSLqcUT4CYjUfmsH-ACn_-QCLcB/s72-c/DSC_1176.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/msajili-wa-vyama-vya-siasa-nchini-jaji.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/msajili-wa-vyama-vya-siasa-nchini-jaji.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago