Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUU WA WILAYA YA IRINGA RICHARD KASESELA AWASWEKA NDANI WALINZI WAWILI KWA KUNYANYASA WANANCHI IRINGA

  Baadhi ya watu walioondoka eneo la kusubiri wagonjwa na kukaa nje katika hospitali ya Rufaa ya Mkoani Iringa.   Mkuu wa Wilaya ya...

  Baadhi ya watu walioondoka eneo la kusubiri wagonjwa na kukaa nje katika hospitali ya Rufaa ya Mkoani Iringa.
  Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akitembelea katika jengo ambalo lililomwagwa maji na Mlinzi wa Kampuni ya Amazon Seculity na kuwaondoa akinamama walipokuwa wamekaa kwenye eneo la kusubiria wagonjwa waliolazwa Katika Hospitali ya Rufaa Mkoani Iringa.
Eneo la Kupumzika watu nwanaoenda kuwaona wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoani Iringa likiwa limemwagwa maji.
--  
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela alipokea wakina mama watatu wakiwa wanatetemeka kwa baridi, wakilalamika kumwagiwa maji ya baridi walipokuwa wamekaa kwenye eneo la kusubiria wagonjwa waliolazwa Katika Hospitali ya Rufaa Mkoani Iringa.

Akinamama hao wengi wao wametoka maeneo ya mbali na hospitali hiyo walimwagiwa na walinzi wa kampuni ya Amazon ambao ndio wamepewa kandarasi ya ulinzi hospitali ya Rufaa ya Iringa. 

Mkuu wa wilaya hiyo alifika hospitali kujionea hali halisi, baadae pia akapata taarifa kuwa jana yake Mlinzi wa kampuni hiyo alimpiga mzee aliyekuwa ameleta chakula katika hospitali hiyo na kumwaga kwa mateke. 

Mkuu wa wilaya aliamuru mlinzi huyo na mwenzake wakamatwe pia mwenye kampuni afike kituo cha polisi haraka iwezekanavyo. "Hali hii imeudhi sana hasa ukiona jinsi wakina mama walivyo nyanyasika wengine vyombo vyao na chakula kuloweshwa maji." alisema Mh Kasesela.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUU WA WILAYA YA IRINGA RICHARD KASESELA AWASWEKA NDANI WALINZI WAWILI KWA KUNYANYASA WANANCHI IRINGA
MKUU WA WILAYA YA IRINGA RICHARD KASESELA AWASWEKA NDANI WALINZI WAWILI KWA KUNYANYASA WANANCHI IRINGA
https://3.bp.blogspot.com/-kPH8agY-d7k/V7r-vRk37OI/AAAAAAADjBA/1_mcqkMp7TkYkwQVXTCotKNjGVkCpD-oQCLcB/s640/IMG_4464%252B-%252BCopy.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-kPH8agY-d7k/V7r-vRk37OI/AAAAAAADjBA/1_mcqkMp7TkYkwQVXTCotKNjGVkCpD-oQCLcB/s72-c/IMG_4464%252B-%252BCopy.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/mkuu-wa-wilaya-ya-iringa-richard.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/mkuu-wa-wilaya-ya-iringa-richard.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago