Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI YAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

  Waziri wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba  miili ya a...

  Waziri wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba  miili ya askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi    katika eneo la Mbande, Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya polisi  vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
  Waziri wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa  askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi  katika eneo la Mbande, Temeke ibada hiyo ya kuaga miili  ilifanyika katika viwanja vya  polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
  Naibu Waziri wa   Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa  askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi  katika eneo la Mbande, Temeke ,ibada hiyo ya kuaga miili  ilifanyika katika Viwanja vya Kambi Kuu ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
 
 Askari wakimsaidia mzazi wa mmoja wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi  katika eneo la Mbande, Temeke, ibada hiyo ya kuaga miili  ilifanyika katika viwanja vya  polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, akizungumza wakati wa maombolezo na kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi.Ibada hiyo ya kuaga  ilifanyika katika Viwanja vya  polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya  Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa  kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi .Ibada hiyo ya kuaga  ilifanyika katika Viwanja vya  Polisi  vilivyopo  barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) 

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NDANI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI YAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
MIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI YAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
https://4.bp.blogspot.com/-ZBG2_bnOeQM/V77-rVHnpEI/AAAAAAADjMM/hszPYIGR9nIXJvJc3fTDeVjGcMW7J960ACLcB/s640/PICHA%2B03.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-ZBG2_bnOeQM/V77-rVHnpEI/AAAAAAADjMM/hszPYIGR9nIXJvJc3fTDeVjGcMW7J960ACLcB/s72-c/PICHA%2B03.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/miili-ya-askari-waliouawa-na-majambazi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/miili-ya-askari-waliouawa-na-majambazi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago