Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MFUKO WA PSPF WATOA ELIMU YA KUJIUNGA KATIKA MFUKO WA KUJICHANGIA KWA HIARI KWA WANANCHI WASIO KATIKA SEKTA RASMIN ZANZIBAR

Afisa wa Mfuko wa PSPF Tawi la Zanzibar Bi Fadhila akizungumza wakati wa Mkutano Taasisi zisizo rasmin za Wavuvi, Madereva wa gari...
Afisa wa Mfuko wa PSPF Tawi la Zanzibar Bi Fadhila akizungumza wakati wa Mkutano Taasisi zisizo rasmin za Wavuvi, Madereva wa gari za mchanga, Kifusi na Wakulima wa mbogamboga kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari ya Mfuko wa PSPF uliofanyika katika ukumbi wa Betilyamin Malindi Zanzibar.

Washiriki wa Mkutano huo wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakimsikiliza Afisa wa Mfuko wa PSPF akitowa maelezo kuhusiana na Mfuko huo. 

Afisa wa Idara ya Uvuvi na Maendeleo Zanzibar Ndg Mohammed Chum akitowa maelezo wakati wa mkutano huo na Mfuko wa PSPF kwa Wavuvi wa Zanzibar kujiunga na Mfuko huo.

Waziri wa Kilimo Maliasili Uvuvi na Mifugo Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akifungua mkutano wa Wavuvi na Wananchi wasio kuwa katika Sekta Rasmin kujiunga na Mfuko wa PSPF katika Mafao ya Hiari ili kupata huduma muhimu za maendeleo kupitia mfuko huo. 
Waziri wa Uvuvi Mhe Hamad Rashid Mohammed akisisitiza jambo wakati wa kufungua Mkutano wa Wadau Wasiokuwa katika Sekta Rasmin kujiunga na Mfuko wa PSPF kupitia Michango ya Hiara ili kupata fursa mbalimbali zinazotolewa na PSPF kwa Wanchi wa Tanzania.

Afisa wa PSPF Zanzibar Bi Faidha Katavi akitowa maelezo kwa Waziri wa Uvuvi kujiunga na Mfuko huo baada ya kufungua mkutano huo wa kuwahamashisha Wananchi wasio kuwa katika Sekta rasmin kujiunga na Mfuko wa Kujichangia kwa Hiara Mafao yao na kupata fursa zinazotolewa na PSPF kwa Watanzania.  

Mhe Hamad Rashid akijaza fomu ya Kuchangia kwa Hiari Mfuko wa PSPF baada ya kuufungua Mkutano huo na Wavuvi.


Afisa wa PSPF Bi. Faidha Katavi akitowa maelezo jinsi ya kujiunga na Mfuko wa PSPF Kujichangia kwa Hiara Mafao katika mfuko huo.

Afisa PSPF Ndg. Hadji Jamadari akitowa maelezo jinsi ya kujiunga na Mfuko wa PSPF kwa mafao ya kujichangia kwa hiari kupitia mfuko huo kwa Wananchi wasio katika Sekta rasmin jinsi wanavyoweza kunufaika kupitia kuchangia mafao kwa hiari.Afisa wa PSPF Ndg Hadji Jamadari akitowa maelekezo kwa Wananchi wanaojiunga katika Mfuko wa PSPF kupitia Michango ya Hiari wakati wa mkutano huo kutowa Elimu ya Mfuko kwa Wananchi wa Zanzibar wasio kuwa katika Sekta Rasmin. 


Afisa wa PSPF Ndg. Hadji Jamadari akitowa maelezo ya moja ya fomu ya kujiunga na Mfuko wa PSPF kupitia Michango ya Hiara kwa Wananchi wasiokuwa katika Sekta rasmin, mkutano huo umewashirikisha Wavuvi, Wachimba Mchanga, Magari ya Mizigo ya Mchanga na Kifunzi na Umoja wa Jumuiya wakulima wa mbogamboga Zanzibar. 


COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MFUKO WA PSPF WATOA ELIMU YA KUJIUNGA KATIKA MFUKO WA KUJICHANGIA KWA HIARI KWA WANANCHI WASIO KATIKA SEKTA RASMIN ZANZIBAR
MFUKO WA PSPF WATOA ELIMU YA KUJIUNGA KATIKA MFUKO WA KUJICHANGIA KWA HIARI KWA WANANCHI WASIO KATIKA SEKTA RASMIN ZANZIBAR
https://1.bp.blogspot.com/-V4jfUy7CjCA/V76ZOr_iKWI/AAAAAAACg8g/hsGTMT4CvBkBBUTcetm1BJxXlwGdPjRTACLcB/s640/DSC_0513.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-V4jfUy7CjCA/V76ZOr_iKWI/AAAAAAACg8g/hsGTMT4CvBkBBUTcetm1BJxXlwGdPjRTACLcB/s72-c/DSC_0513.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/mfuko-wa-pspf-watoa-elimu-ya-kujiunga.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/mfuko-wa-pspf-watoa-elimu-ya-kujiunga.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago