Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA KIZIMKAZI DAY

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shira kwenye kalmati kwenye kilele cha sherehe za Si...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shira kwenye kalmati kwenye kilele cha sherehe za Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) ambapo vyakula vya asili huliwa.
 Vijana wa Kiume wakishindana kukuna nazi ikiwa sehemu ya mashindano ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day).
 Wakina Mama wakishindana kufunga kamba kwenye kilele cha sherehe za Kizimkazi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa kijiji cha Kizimkazi Mkunguni kwenye kilele cha Sherehe za Siku ya Kizimkazi ambapo wanakijiji hutumia siku hiyo maalum kujadiliana mambo ya maendeleo na kushiriki michezo mbalimbali pamoja na kula vyakula vya asili pamoja.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi  kutoka kwa wakina mama wa kijiji cha Kizimkazi Mkunguni kwenye kilele cha sherehe za Siku ya Kizimkazi
 5. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndugu Idrisa Kitwana wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Kimkazi (Kizimkaziday) kwenye kijiji cha Kizimkazi Mkunguni. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA KIZIMKAZI DAY
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA KIZIMKAZI DAY
https://4.bp.blogspot.com/-uFr4_H8EYW8/V68panXJ7XI/AAAAAAADi2U/3b9T6mQFiTECogogD8VGht7-ooR-7bVBgCLcB/s640/9.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-uFr4_H8EYW8/V68panXJ7XI/AAAAAAADi2U/3b9T6mQFiTECogogD8VGht7-ooR-7bVBgCLcB/s72-c/9.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/makamu-wa-rais-mgeni-rasmi-katika.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/makamu-wa-rais-mgeni-rasmi-katika.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago