Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania watembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

 Mabalozi hao wakiwa katika chumba cha upasuaji.  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed...

 Mabalozi hao wakiwa katika chumba cha upasuaji.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania. Kulia ni Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Edzai Chimonyo. Mabalozi hao wameitembelea taasisi hiyo ili kuona shughuli mbalimbali za kitibabu na wamehahidi kuwenda kupatiwa matibabu kwenye taasisi hiyo badala kwenda nchi nyingine ikiwamo Afrika Kusini kupatiwa huduma za magonjwa ya moyo.
 Profesa Janabi akizungumza na mabalozi katika taasisi hiyo LEO.
 Mabalozi wa nchi za Afrika nchini Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi baada ya kuitembelea taasisi hiyo LEO.
 Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano na mabalozi kwenye taasisi hiyo LEO.
 Mabalozi hao wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo. Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi akizungumza na waandishi wa habari baada ya ziara ya  mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania. Kulia ni Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Edzai Chimonyo. Mabalozi hao wameitembelea taasisi hiyo ili kuona shughuli mbalimbali za kitibabu na wamehahidi kuwenda kupatiwa matibabu kwenye taasisi hiyo badala kwenda nchi nyingine ikiwamo Afrika Kusini kupatiwa huduma za magonjwa ya moyo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania watembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)
Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania watembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)
https://2.bp.blogspot.com/-FfhmMKSxuUI/V8BrU2m9WLI/AAAAAAADjOM/ORD96SWAoAkxsCSNMlWgVSLDMav_Y0t9QCLcB/s640/0005.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-FfhmMKSxuUI/V8BrU2m9WLI/AAAAAAADjOM/ORD96SWAoAkxsCSNMlWgVSLDMav_Y0t9QCLcB/s72-c/0005.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/mabalozi-wa-afrika-wanaowakilisha-nchi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/mabalozi-wa-afrika-wanaowakilisha-nchi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago