Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KIPINDI KIPYA CHA TV KUHUSU KUHAMIA MAKAO MAKUU DODOMA

TBC inakuletea kipindi kipya maalum ambacho kitawakutanisha wadau mbalimbali wakijadiliana na kuongelea umuhimu wa kuhamia Makao Makuu D...

TBC inakuletea kipindi kipya maalum ambacho kitawakutanisha wadau mbalimbali wakijadiliana na kuongelea umuhimu wa kuhamia Makao Makuu Dodoma, kama ilivyoagizwa na Mhe Rais John Pombe Magufuli.

Kutana na Marin Hassan Marin katika kipindi hiki, kitakachoanza Jumatano, tarehe 10 August 2016 na kuendelea kila siku ya jumatano saa 3:00 usiku TBC1, akikukutanisha watu mbalimbali katika kuchambua uamuzi huu muhimu wa kuhamia Makao Makuu Dodoma.

Kutakuwa na maswali mbalimbali ambayo watazamaji watashiriki kuyajibu, na mshindi atajipatia zawadi kem kem.

Usikose kipindi hiki maalum, "SAFARI YA DODOMA" kila Jumatano saa 3:00 usiku TBC1

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KIPINDI KIPYA CHA TV KUHUSU KUHAMIA MAKAO MAKUU DODOMA
KIPINDI KIPYA CHA TV KUHUSU KUHAMIA MAKAO MAKUU DODOMA
https://2.bp.blogspot.com/-OglHt_KEazg/V6pRPcjMRSI/AAAAAAADixI/mfNtArm_OU8fJE_vkTwfQFf5nYMNrPDvgCLcB/s640/SAFARI%2BYA%2BDODOMA-Template%2B02.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-OglHt_KEazg/V6pRPcjMRSI/AAAAAAADixI/mfNtArm_OU8fJE_vkTwfQFf5nYMNrPDvgCLcB/s72-c/SAFARI%2BYA%2BDODOMA-Template%2B02.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/kipindi-kipya-cha-tv-kuhusu-kuhamia.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/kipindi-kipya-cha-tv-kuhusu-kuhamia.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago