Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KIKAO CHA EDWARD LOWASSA CHAZUIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

  Edward Lowassa akipata maelezo mbalimbali kutoka viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoka na polisi kuuzuia kikao cha nd...

 Edward Lowassa akipata maelezo mbalimbali kutoka viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoka napolisi kuuzuia kikao cha ndani cha Mh.Edward Lowassa na wanachama wa Chadema wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ambacho kilizuiwa kufanyika na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo.
   Sehemu ya askari polisi wakiwa kwenye eneo ambalo lilitegemewa kufanyika kikao cha ndani cha Mh.Edward Lowassa na wanachama wa Chadema wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ambacho kilizuiwa kufanyika na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo.
  Edward Lowassa akiondoka na msafara wake baada ya kupata maelezo mbalimbali kutoka viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuzuiwa kufanyika kwa kikao cha ndani cha Mh.Edward Lowassa na wanachama wa Chadema wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ambacho kilizuiwa kufanyika na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo.

  Baadhi ya Wananchi wakitazama tukio hilo
 --
By Lauden Mwambona, Mwananchi
Mbeya. Msafara wa aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa umekwama kwenda Mikoa ya Rukwa na Katavi  baada ya polisi kuuzuia kwa hofu kwamba unaweza kuingilia ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anayetembelea mikoa hiyo.

Lowassa ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema alianzia ziara yake  mkoani hapa tangu Agosti 21 na juzi alifanya vikao vya ndani katika majimbo yanayoshikiliwa na wabunge wa chama chake  mkoani  Songwe wakati leo asubuhi alitarajiwa kwenda Katavi na Rukwa.

Katika Mikoa ya Rukwa na Katavi alitarajiwa kufanya mikutano ya ndani Majimbo ya  Nkasi Kaskazini na Kusini na Sumbawanga.

Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wanayoiita ‘Kanda ya Nyasa’, Frank Mwaisumbe  alisema  kwamba polisi walimpigia simu Lowassa juzi saa 1.00 jioni akiwa Tunduma  wakimtaka aahirishe ziara yake Mkoa wa Rukwa.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Rukwa, Gorge Kyando alipoulizwa  kwa njia ya simu alisema waliwashauri viongozi wa Chadema wapange siku nyingine ya ziara kwa sababu  mkoa ulikuwa na ugeni mkubwa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KIKAO CHA EDWARD LOWASSA CHAZUIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
KIKAO CHA EDWARD LOWASSA CHAZUIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
https://4.bp.blogspot.com/-4DC_gdHyygU/V7xdhaWVBeI/AAAAAAADjD8/hOdEsUV5eFIB4gFuownzHHq4dQsy4BDUwCLcB/s640/nh.jpeg
https://4.bp.blogspot.com/-4DC_gdHyygU/V7xdhaWVBeI/AAAAAAADjD8/hOdEsUV5eFIB4gFuownzHHq4dQsy4BDUwCLcB/s72-c/nh.jpeg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/kikao-cha-edward-lowassa-chazuiwa-na.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/kikao-cha-edward-lowassa-chazuiwa-na.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago