Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

HUU UHARIBIFU WA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKA KATIKA VITUO VYA MABASI YA MWENDOKASI VIPI?

Hapa upande wa kulia ukionekana kuwa kifaa cha kuhifadhia taka kilisha chomolewa na kubakiza mfuniko tuu na papo hivi kwa zaidi ya mwezi...


Hapa upande wa kulia ukionekana kuwa kifaa cha kuhifadhia taka kilisha chomolewa na kubakiza mfuniko tuu na papo hivi kwa zaidi ya mwezi sasa.
Hapa Kifaa cha kuhifadhia taka taka kikiwa kimepinda haijulikani kiligongwa au kuna watu walikuwa wanataka chomoa.
Hiki kikiwa kimelegea kabisa amambapo muda wowote litachomoka
Hapa mfuniko ndio ulisha potea tena
Hili nalo tayari linaelekea kudondoshwa chini
Hii hapa ndio funga kazi kabisa yani wamesha chomoa muundo mbinu wote wa kushoto 
--
 

Ikiwa ni Takribani miezi michache kupita tangia mabasi ya mwendo kasi yaanze kufanya kazi kwa ufanisi mzuri, kumekuwa na mambo kadha wa kadha yakiendelea ikiwa ni pamoja na kuharibika kwa miundombinu ya vituo hivyo vya mabasi hayo.

Hili limeonekana bila chenga Morogoro Road ambapo kipande cha kutokea Jangwani mpaka Manzese kikionesha wazi  vifaa vya kuhifadhia taka vimeharibika, huku vingine vikionekana kuchomolewa, kupinda, na kulegea. 

 Swali la kujiuliza hapa ni kwamba kwa jinsi miundombinu hii ilivyo kaa  ni ngumu sana hata mtu kugonga kwa mguu sasa inakuwaje inaharibika kiasi hiki?

Picha na Fredy Njeje

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: HUU UHARIBIFU WA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKA KATIKA VITUO VYA MABASI YA MWENDOKASI VIPI?
HUU UHARIBIFU WA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKA KATIKA VITUO VYA MABASI YA MWENDOKASI VIPI?
https://2.bp.blogspot.com/-wfIzphMcnmg/V6w4dA9f9UI/AAAAAAAAjXU/WmQpfPmkjzA-n4fHRLkGyrKtWmCfr0vBwCLcB/s640/08111002.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-wfIzphMcnmg/V6w4dA9f9UI/AAAAAAAAjXU/WmQpfPmkjzA-n4fHRLkGyrKtWmCfr0vBwCLcB/s72-c/08111002.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/huu-uharibifu-wa-vifaa-vya-kuhifadhia.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/huu-uharibifu-wa-vifaa-vya-kuhifadhia.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago